Tuesday , February 21 2017

Home / 2016 / December

Monthly Archives: December 2016

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA YAKIONYESHA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKICHANGISHA FEDHA ZA UJENZI WA SEKONDARI MPYA RUANGWA

mju1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya Shilingi milioni sita kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Pacco GEMS Limited, Bw. Mahendra Bardiya katika harambee  ya kuchangia ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari wilayani Ruangwa ambapo jumla ya shilingi milioni 138.26 zilichangwa. Harambee hiyo ilifanyika sambamba na  mkutano wa hadhara uliohutubia …

Read More »

BONDIA OMARI KIMWERI AWAMWAGIA VIFAA MABONDIA WATANZANIA

gedc0216

Mwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto akimkabidhi vifaa vya ndondi kwa kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ vilivyokabidhiwa kwa wadau mbalimbali nchini vifaa hivyo vimetolewa na Bondia Mtanzania anaefanya shughuli zake Victoria, Australia, Omari Kimweri picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia Selemani Kidunda …

Read More »

WAKAZI WA MJI WA LINDI WAFANYA USAFI KUITIKIA WITO WA RAIS

wak1

 Wakazi wa mji wa Lindi wakifanya usafi wa mazingira katika mitaa na barabara  zinazozunguka hospitali ya mkoa huo Desemba 31, 2016. Walifanya hivyo kuitikia agizo la  Rais John Pombe Mgufuli la kuwataka watanzania kutumia muda wa asubuhi kila Jumamosi kufanya usafi wa mazingira. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Read More »

MAHAFALI YA 18 YA CHUO KIKUU CHA SAUT MWANZA YAFANYIKA

sau

Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya mahafali ya 18 hivi karibuni, kuanzia kulian ni Martin Kayera, Bahati Mollel na Nicodemas Inkoko. Wakiwa kwenye picha ya pamoja wahitimu wa Shahada ya Uzamili …

Read More »

HAKUNA UHABA WA DAWA YA USINGIZI HOSPITALI YA BOMBO

uukkkuuuu

Na Frank Mvungi (MAELEZO)   Serikali yasema hakuna uhaba wa dawa ya usingizi katika Hospitali ya Rufaa Bombo Mkoani Tanga kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kuwa hali hiyo inachochea kuzorota kwa huduma za upasuaji.   Akifafanua suala hilo Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga  Dkt. …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA WALIMU WAHAMIE SHULENI

pmpic

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza walimu wanaishi mbali na shule wakati shule zao zina majengo wahame mara moja na warudi kuishi kwenye nyumba za shule. Amesema haifai kuacha walimu waishi mbali na maeneo ya shule kwani hali hiyo inachangia uchelewaji kazini na inapunguza muda wa kuwasimamia wanafunzi au kuwasaidia jioni …

Read More »

RAIS DK.SHEIN ATOA SALAMU YA MWAKA MPYA 2017

toi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa salamu za mwaka mpya wa 2017 kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla,ambapo ameuombea kuwa mwaka wa mafanikio na Amani,salamu hizo alizotoa leo katika  ukumbi wa Ukulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 31 DISEMBA 2016.

Read More »