Tuesday , February 21 2017

Home / 2017 / January / 05

Daily Archives: January 5, 2017

SIMBA YABANWA MBAVU KOMBE LA MAPINDUZI NA URA YA UGANDA

ura

Na.Alex Mathias. Vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara Simba imeshindwa kutamba mbele ya wakusanya mapato toka Uganda timu ya URA baada ya kutoka sare ya 0-0 mchezo wa pili wa Michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar kwenye uwanja wa Amani. Dakika 90 hakuna timu ambayo imeweza …

Read More »

JERRY MURO AIPIGIA MAGOTI TFF

muro

Hatimaye msemaji wa Yanga Jerry Muro ameinua mikono juu na kuiangukia TFF kwa kuandika barua ya kuomba kupunguziwa adhabu ya kufungiwa kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa mwaka mmoja. Adhabu ya Muro ilianza Julai 7, 2016 hiyo inamaanisha tayari ameshatumikia adhabu yake kwa kipindi kisichopungua miezi sita. TFF …

Read More »

UZINDUZI WA KIWANDA CHA AZAM DAIRY PRODUCTS LIMITED FUMBA.

daily

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa mara alipowasili katika Viwanja vya Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo kukizindua rasmi,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho …

Read More »

KINANA AZINDUA KAMPENI ZA CCM, DIMANI ZANZIBAR

dim1

Katibu Mkuu wa CCM,Andulrahman Kinana akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo la Dimani Juma Ali Juma, katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo, mjini Zanzibar, leo, Januari 5, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo). Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za …

Read More »

Rc Gambo apania kutokomeza vifo vya mama na Mtoto

nte1

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza katika mkutano wa Wadau wa Afya uliofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ya Meru,kushoto ni Mganga Mkuu wa mkoa,Dk frida Mokiti. Mganga Mkuu wa mkoa wa Arusha,Dk Frida Mokiti akizungumza katika mkutano wa Wadau wa Afya uliofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ya Meru,kulia ni …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

images

TAREHE 4 /1/ 2017 MAJIRA YA SAA SITA USIKU (00:00) KATIKA MAENEO YA KIJIJI CHA NYABUTANGA KATA YA BUKOKWA TARAFA YA BUCHOSA WILAYA YA SENGEREMA MKOA WA MWANZA, ASKARI WALIFANIKIWA KUWAKAMATA WATU WATANO AMBAO NI 1. JULIUS NDALO MIAKA 80, 2. GEORGE JULIUS MIAKA 22, 3. JOSEPH JULIUS MIAKA 28, …

Read More »