Tuesday , February 21 2017

Home / 2017 / January / 06

Daily Archives: January 6, 2017

JOHN MIKEL OBI AITEMA CHELSEA NA KUKIMBILIA CHINA

gettyimages-456051316-0

Kiungo wa kati wa Nigeria John Obi Mikel amekuwa mchezaji wa karibuni zaidi kuondoka Chelsea na kuhamia Ligi Kuu ya China. Mikel ametangaza kwenye Twitter kwamba atajiunga na klabu ya Tianjin TEDA. Majuzi, Oscar aliondoka Stamford Bridge na kujiunga na Shanghai SIPG. Mchezaji wa Brazil Ramires alikuwa ameaga klabu hiyo …

Read More »

KATIBU MKUU AKABIDHI SIMU KWA WAKUSANYA TAARIFA ZA MASOKO

psmkenda

  Dodoma:Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji (WVBU)Prof. Adolf Mkenda amehitimisha mafunzo ya ukusanyaji wa taarifa za bei za mazao ya kilimo na bidhaa nyingine kwa kukabidhi simu za Mkononi Washiriki wa Mafunzo hayo kutoka mikoa mbalimbali  Tanzania bara. Mafunzo hayo yaliyofanyika mkoani hapa kwa siku nne mfululizo na …

Read More »

WAZIRI MKUU ANUSA MADUDU MRADI WA NGAKA

maji-waziri

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa atamtuma mara moja Msajili wa Hazina aende kufanya uchunguzi wa kina na wa kijinai (forensic investigation) ili kijiridhisha kama mapato na matumizi ya kampuni ya TANCOAL ni halali. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Ijumaa, Januari 6, 2017) mara baada baada ya kupokea taarfa na kutembelea mgodi …

Read More »

VISIWANI ZANZIBAR MASHABIKI WAKOSA IMANI NA TIMU ZAO

zeno

Mashabiki mbalimbali wa visiwani Zanzibar kwa upande wao wamesema kwamba hawana matumaini makubwa ya timu moja wapo ya Zanzibar kuweza kufanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano hiyo ya mapinduzi kwani viwango ambavyo wanavionyesha ni tofauti na timu za Tanzania bara. Mashabiki hao wamesema kwamba timu hizo zinashindwa kufanya vizuri kutokana na …

Read More »

MBOWE APINGWA KILA KONA

mbowe-2222

Na Mwandishi wetu WADAU mbalimbali wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwa muwazi kwa wananchi wake wakati wanapohitaji misaada mbalimbali wakati wa majanga. Wametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam wakati wa mahojiano na mwandishi wa habari hizi kueleza kauli ya …

Read More »