Tuesday , February 21 2017

Home / 2017 / January / 07

Daily Archives: January 7, 2017

AZAM FC IMEIPA YANGA KIFURUSHI CHA 4G KOMBE LA MAPINDUZI

bokooo

  Magoli manne ya Azam FC dhidi ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania bara  yameifanya iongoze kundi B kwa kufikisha pointi saba kombe la Mapinduzi huku ikimaliza mechi yake kwa kishindo cha magoli 4-0 kwenye uwanja wa Amaan visiwani,Zanzibar. Matokeo hayo yanaifanya Azam Fc wafikishe jumla ya pointi …

Read More »

MAN UNITED YAIFUATA MAN CITY HATUA INAYOFUATA YA KOMBE LA FA

reading

Mashetani wekundu Manchester United imesonga mbele katika Michuano ya kombe la Emirates FA baada ya kupata ushindi wa jumla ya magoli 4-0 dhidi ya timu ya Reading inayoshiriki daraja la kwanza mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Old Trafford mjini Manchester. Nahodha Wayne Rooney alianza kuifungia United dakika ya 7 baada …

Read More »

WAZIRI MKUU ASIFU HUDUMA ZA TIBA MADABA

maji-waziri

*Aipongeza NHIF kwa kutoa dawa, mashuka na vifaa tiba *Aipongeza Halmashauri kwa kusajili wakazi wengi kwenye CHF WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesifia huduma za tiba zinazotolewa kwenye kituo cha afya Mabada katika wilaya ya Songea licha ya kuwa ni kidogo.  Akizungumza na watumishi wa kituo hicho, mwishoni mwa wiki, Waziri …

Read More »

UJENZI WA UCHUMI WA VIWANDA KUPITIA SEKTA YA UVUVI INAWEZEKANA.

300px-coat_of_arms_of_tanzania-svg

Na Ismail Ngayonga-MAELEZO,DAR ES SALAAM KATIKA kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, Serikali imekusudia kuweka mkazo katika ujenzi vya viwanda ili kuharakisha kasi ya ukuaji wa maendeleo kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Ili kufikia lengo hilo, Serikali imeanisha sekta kuu za kiuchumi ikiwemo mifugo, uvuvi, kilimo, ardhi, nishati, …

Read More »