Thursday , April 27 2017

Home / SIASA / Diwani wa CHADEMA Kata ya Tanga Manispa ya Songea mkoani Ruvuma ajiunga na CCM

Diwani wa CHADEMA Kata ya Tanga Manispa ya Songea mkoani Ruvuma ajiunga na CCM

ccm

Aliyekuwa mwana chama wa Chadema na Diwani wa Kata ya Tanga Manispa ya Songea na Mwenyekiti wa Wawanafunzi katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu John kilichopo Songea, Musa Ndomba arudi CCM. Kufuatia maamuzi hayo, mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemkabidhi Ndomba kadi ya CCM na shughuli hiyo imefanyika katika ukumbi wa CCM mkoani Ruvuma

About bukuku

Check Also

unnamed

CCM Z’BAR YASIFU JUHUDI ZA SMT NA SMZ ZA KUTAFUTA UFUMBUZI WA KERO ZA MUUNGANO.

KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar¬† Bi. Waride …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *