Tuesday , February 21 2017

Home / 2017 / January / 09

Daily Archives: January 9, 2017

Five conditioning-tracking programs for Android

Are you wanting to understand how exactly to label someone? Instagram is by far certainly one of my favorite social networking programs (in the event you haven;t currently, you can check out my previous post on how to sign up for Instagram), and section of why is Instagram this kind …

Read More »

WAZIRI ISSA GAVU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

waz2

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi leo hapo Ikulu Mjini Unguja,wakiwepo na watendaji wa wengine kuhusu Nishani mbali mbali zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

msangii

KWAMBA MNAMO TAREHE 8.01.2017 MAJIRA YA SAA 06:10HRS ASUBUHI KATIKA KIJIJI CHA KISESA ENEO LA KONA YA KAYEZE BARABARA YA MWANZA – MUSOMA WILAYANI MAGU MKOA WA MWANZA, WATU WAWILI WALIOJULIKANA KWA MAJINA YA 1. DANIEL JOACKIM @ NYAMBO MIAKA 33, MFIPA NA 2. JANET ADEN @ KAGOSA MIAKA 22, …

Read More »

How To Speak Well

Article writing providers receive a nasty rap. Sadly, on-line business is scammed with scammers. Thus, for obtaining a first-class mark, all clients need to meticulously decide essay composing service which could supply them a great papers with the right formatting and structuring. Absolutely, custom papers writing services aren’t free. A …

Read More »

MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA

hapa

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China,   Wang Yi   (kulia kwake) kwenye makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam Januri 19, 2017.  Kushoto kwake ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, …

Read More »

BABA RAIS MAGUFULI 2016 UMETUANGUSHA WATANZANIA

jpm1

1.Baba Magufuli kwa kweli nimeshindwa kuvumilia lazima nikwambie we ni balaa yani khaaa!! Ndani ya Mwaka Mmoja pamoja na mtikisiko wa uchumi duniani wewe umeongeza mapato ya mwezi kutoka Bilioni 900 hadi Trilioni 1.2; 2.Ndani ya mwaka mmoja watalii waliokuwa hawalipi kodi na pia hawaji kwa wingi nchini Baba umeanzisha …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA

posi

  Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa …

Read More »