Tuesday , February 21 2017

Home / 2017 / January / 10

Daily Archives: January 10, 2017

MATUTA YAIPELEKA SIMBA FAINALI MAPINDUZI CUP 2017.

simba-day-5

Na.Alex Mathias Dakika 90 zimemaliza kwa vigogo wa soka nchini Simba na Yanga kwenda bila kufungana katika mchezo wa kombe la Mapinduzi iliyopigwa katika uwanja wa Amaan. Ndipo hatua ya matuta imeweza kuipeleka timu ya Simba Fainali  baada ya kupata jumla ya Penati 4-2 ambapo itakutana na Azam FC waliokuwa …

Read More »

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUTEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) VIWANJA VYA MAISARA – ZANZIBAR

nida

  Wafanyakazi  wa NIDA wakiwa katika picha ya pamoja, wakijipanga katika Banda la maonyesho hapo katika viwanja vya maonyesho vya Biashara vya Maisara Zanzibar  ili kuhudumia wananchi watakaohudhuria.    Ofisa wa NIDA  Ng Abdulaziz Juma Mtumwa akimkabidhi Dada Lidia Adminic Kaguo Kitambulisho chake katika Banda la Maonyesho wakati maonesho ya …

Read More »

UWANJA WA NDEGE WA MWANZA KUKAMILIKA NOVEMBA.

anza

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mhandisi Lili-Ang kutoka kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) inayakarabati na kujenga uwanja wa ndege wa Mwanza. Mhandisi Mshauri anayesimamia ukarabati na ujenzi wa  uwanja wa ndege wa Mwanza akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa …

Read More »

MAJALIWA AMTEMBELEA MAMA FATMA KARUME

uo

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, Mama  Fatma Karume wakati alipomtembelea nyumbani kwake  eneo la    Maisara Zanzibar.     Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na mjane wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi   ya  Zanzibar, Mama Fatma …

Read More »

UFUNGUZI WA TAMASHA LA BIASHARA LA 2 ZANZIBAR.

ufe

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali alipowasili katika viwanja vya Maisara wilaya ya Mjini Unguja   leo kufungua Tamasha la tatu la Maonesho ya Biasahara Zanzibar ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya …

Read More »