Monday , October 23 2017

Home / MICHEZO / MATUTA YAIPELEKA SIMBA FAINALI MAPINDUZI CUP 2017.

MATUTA YAIPELEKA SIMBA FAINALI MAPINDUZI CUP 2017.

simba-day-5

Na.Alex Mathias

Dakika 90 zimemaliza kwa vigogo wa soka nchini Simba na Yanga kwenda bila kufungana katika mchezo wa kombe la Mapinduzi iliyopigwa katika uwanja wa Amaan.

Ndipo hatua ya matuta imeweza kuipeleka timu ya Simba Fainali  baada ya kupata jumla ya Penati 4-2 ambapo itakutana na Azam FC waliokuwa wa kwanza kutinga Fainali hiyo baada ya kuifunga Taifa ya Jang’ombe goli 1-0.

About Alex

Check Also

IMG_20171021_175933

SIMBA YAITUMIA SALAMU YANGA ‘YAITANDIKA NJOMBE MJI BAO 4-0 UWANJA WA UHURU’

 Wachezaji wa timu ya Simba wakishangia ushindi wao walioupata dhidi ya Timu ya Njombe Mji, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *