Tuesday , October 24 2017

Home / BIASHARA / KAMATI YA BUNGE YA PIC YATEMBELEA EPZA

KAMATI YA BUNGE YA PIC YATEMBELEA EPZA

bun1

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda wa Uwekezaji (EPZA) Bw.  Lamau Mpolo akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea eneo hilo mapema leo.

bun2Wajumbe wa  Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) wakiangalia shughuli za uzalishaji nguo zinafofanyika Kiwandani hapo. bun3 bun4 bun5

Wajumbe wa  Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) wakiangalia shughuli za uzalishaji nguo zinafofanyika Kiwandani hapo.

bun6 bun7

Msajili wa Hazina (kulia) Dkt Oswald Mashidano pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Mhe Albert Obama (katikati) wakiangalia jinsi shughuli za ushonaji nguo zinavyofanyika Kiwandani hapo.

bun8 bun9 bun10

Mwanasheria  wa Kiwanda cha Tanzania Tooku Garments Bw  Ibrahim Gamba (kushoto) kilichopo eneo la EPZA akimuelezea Mwenyekiti wa Kamati ya ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) Mhe Albert Obama akimuelezea jinsi uzalishaji wa nguo unavyofanyika Kiwandani hapo wakati Kamati hiyo ilipotembelea Kiwanda hicho.

bun11 bun12

About bukuku

Check Also

index

JPM GUMZO KWA MAKINIKIA

Makubaliano Barrick: JPM awa gumzo duniani *New York Times wasema ni mageuzi tupu *Mining Quartz: …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *