Tuesday , May 30 2017

Home / MICHEZO / HAMIS KIIZA AJIUNGA NA AL HILAL

HAMIS KIIZA AJIUNGA NA AL HILAL

IMG-20170518-WA0023[1]

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya soka ya Yanga pamoja na timu ya Simba Hamis Kiiza amejiunga rasmi na klabu ya Al Hilal ya Sudan kwa kuingia kanadarasi ya mwaka mmoja kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo.

Kiiza ni miongoni mwa wachezaji wenye bahati ya kusajiliwa na vilabu mbalimbali katika nchi tofauti ambapo pia baada ya kuachwa na klabu ya Simba alielekea nchini Afrika ya Kusini akijiunga na klabu ya Free State kabla ya kurejea nchini Uganda.

About Alex

Check Also

IMG-20170528-WA0101

UMISSETA MKOA WA DAR ES SALAAM YAPAMBA MOTO

Kaimu Katibu Tawala upande wa Uchumi na Uzalisha Mkoa wa Dar es salaam Ndg Edward …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *