Saturday , September 23 2017

Home / MICHEZO / MECHI ZOTE ZA MWISHO VPL KUANZA SAA 10.00 JIONI

MECHI ZOTE ZA MWISHO VPL KUANZA SAA 10.00 JIONI

 

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), tunafahamisha kuwa mechi za mwisho za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/2017 zitachezwa kuanzia saa 10.00 jioni bila kujali kama jua linawahi au kuchelewa kuzama.

Muda huo umepangwa ili kuhakikisha timu zote zinamaliza mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara zinamalizika siku moja ya Mei 20, mwaka huu na kwa muda mmoja, ikiwa ni pamoja na kudhibiti viashiria vyo vyote vya upangaji wa matokeo.

Ni jukumu la kila kamishna kuhakikisha mechi anayosimamia inaanza katika muda ulipangwa bila kujali kama kuna mgeni rasmi au la.

About Alex

Check Also

Liverpool-v-Manchester-United

MASHABIKI WA MAN UNITED NA LIVERPOOL WAONYWA NCHINI URUSI

Mashabiki wa Liverpool na Manchester United wameambiwa kwamba kutakuwa na maafisa wengi wa polisi mjini …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *