Monday , July 24 2017

Home / MCHANGANYIKO / Wakurugenzi Waahidi Kutekeleza Kampeni Ya Maji ‘Nipo Tayari’

Wakurugenzi Waahidi Kutekeleza Kampeni Ya Maji ‘Nipo Tayari’

 


Mratibu wa kampeni ya mazingira ijulikanayo kama Nipo Tayari Juliana Kitila akimuonyesha kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Ulanga mkoani Morogoro Peter Nkaya ( wakanaza upande wa kushoto) hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa mambo sita ya ya usafi wa mazingira kwenye halmashauri yake ikiwa ni kampeni ya kuendeleza muitikio wa usafi mkoani Morogoro.
Kaimu Mkurugenzi halmashauri ya Ulanga mkoani Morogoro ‘akiapa’ kuwa yuko tayari kuungana na serikali katika kutekeleza swala la usafi sambamba na halmashauri yake.
Mratibu wa kampeni ya ya mazingira ijulikanayo kama Nipo Tayari Juliana Kitila akitoa maelezo kwa mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe Mussa Gama juu ya kampeni ya hiyo mjini Morogoro jana.

Mkurugenzi wa halmashauri ya Kisarawe Mussa Gama akishilia bango la Nipo Tayari kama ishara ya kuwa yuko tayari kushiriki kikamilifu katika kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira ijulikanayo kama Nipo Tayari wakati wa semina mjini Morogoro jana.

About Alex

Check Also

# 1

WAZIRI UMMY :MARUFUKU KUTANGAZA DAWA ZA ASILI ZISIZOSAJILIWA KISHERIA

Picha ya pamoja ikiongozwa na Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *