Tuesday , October 24 2017

Home / BURUDANI / ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU

ZIFF KUBORESHA SOKO LA FILAMU

unnamed

Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa Tamasha la Filamu  za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mtaalam wa Habari na Masoko wa ZIFF, Bi. Lara Presdon na Meneja wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Daniel Nyalusi.

A

Mtaalam wa Habari na Masoko wa ZIFF, Bi. Lara Presdon akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa Tamasha la Filamu za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo.

A 1

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Emerson’s Zanzibar Foundation, Said ELG akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Tuzo ya Filamu itakayotolewa na taasisi yake katika Tamasha la Filamu za nchi za Majahazi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Fabrizio Colombo.

A 2

 Baadhi ya waamdishi wa habari wakifuatilia mkutano wa waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) leo jijini Dar es Salaam.

Picha na: Frank Shija – MAELEZO

About Alex

Check Also

unnamed

ALBAMU YA HAKUNA MATATA KUZINDULIWA OKTOBA 29 HIGHLAND HALL, IRINGA

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Dr. Tumaini Msowoya anawakaribisha wakazi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *