Saturday , August 19 2017

Home / MICHEZO / ALLY MAYAY AAMUA KUPAMBANA NA MALINZI URAIS WA TFF,JULIO AKOLEZA VITA HUKU MTEMI RAMADHANI UMAKAMU WA RAIS

ALLY MAYAY AAMUA KUPAMBANA NA MALINZI URAIS WA TFF,JULIO AKOLEZA VITA HUKU MTEMI RAMADHANI UMAKAMU WA RAIS

IMG_0012-1-640x427

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga na Taifa Stars Ally Mayay ‘Tembele’ leo Juni 19, 2017 amechukua fomu ya kugombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF).

Mayay sambamba na mchezaji mwingine wa zamani Mtemi Ramadhani walifika TFF kwa ajili ya kuchukua fomu ambapo Mtemi Ramadhani yeye anawania nafasi ya makamu wa Rais wa TFF.

Wawili hao walisindikizwa ofisi za TFF na wadau mbalimbali wa soka akiwemo kocha Jamhuri Kiwelu ‘Julio’ pamoja na Jembe Ulaya.

About Alex

Check Also

3-47-310x165

VIBONDE WA YANGA WAITOA NISHAI SIMBA UWANJA WA AMAAN ZENJI,MCHEZO WA KIRAFIKI

Timu ya Simba SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji, Mlandege katika mchezo wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *