Tuesday , October 24 2017

Home / MCHANGANYIKO / RAIS DK SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR

RAIS DK SHEIN AZUNGUMZA NA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR

DSC_4497

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Bima na Uongozi wa Sirika la Bima  Zanzibar  katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji wa Sirika hilo , [Picha na Ikulu.] 11 /08/2017.

DSC_4506

Baadhi ya Viongozi katika  Sirika la Bima  Zanzibar  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kilichojumuisha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango pamoja  na Bodi ya Wakurugenzi ya  Wakurugenzi ya Shirika la Bima Zanzibar  ,[Picha na Ikulu.] 11/08/2017.

DSC_4513

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima  Zanzibar Nd, Abdulnasir Ahmed Mohamed (kushoto) alipokuwa akizungumza na kutoa ufafanuzi wakati wa kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambapo Mwenyekiti wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) pia kimejumuisha Bodi ya  Wakurugenzi ya Shirika la Bima  Zanzibar,Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango na Uongozi wa  Shirika la Bima Zanzibar,(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya  Wakurugenzi ya Shirika la Bima  Bw.Jumbe Said Ibrahim,[Picha na Ikulu.] 11/08/2017.  

About bukuku

Check Also

DSC_0522

WAANDISHI WA HABARI WATANGAZA KUTOKUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI MKOANI GEITA

Mwenyekiti wa chama cha waandishi Mkoani Geita,Daniel Limbe Akisisitiza Msimamo wa waandishi wa habari wakati …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *