Saturday , September 23 2017

Home / MCHANGANYIKO / MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU AZUNGUMZA NA MAAFISA HABARI

MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU AZUNGUMZA NA MAAFISA HABARI

DSC_0908

Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Hassan Khatib akizungumza na Maafsa Habari  wa Taasisi mbalimbali za Serikali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.

DSC_0918

Afisa wa Habari kutoka Ofisi ya Mtakwimu mkuu wa Serikali Salama Njani akitoa mchango wake katika kikao cha maafsa habari kutoka Taasisi mbalimbali kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

 

About Alex

Check Also

p1

MKUU WA MKOA WA SHINYANGA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI ‘SHINYANGA MPYA,MTI KWANZA’

  Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Zainab Telack akizindua kampeni ya upandaji miti ya ‘Shinyanga Mpya,Mti …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *