Saturday , September 23 2017

Home / BURUDANI / Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUBA) Pamoja na Short Stature of Kenya Zikionyesha Maigizo Tamasha la JAMAFEST

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUBA) Pamoja na Short Stature of Kenya Zikionyesha Maigizo Tamasha la JAMAFEST

PIX 1

Kikundi cha burudani ya Uchekeshaji kutoka nchini Kenya maarufu kama Short Stature Society of Kenya kikitoa igizo lake la kuchekesha mbele ya washiriki mbalimbali wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) toka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki 12 Septemba, 2017 Mjini Kampala, Uganda.

PIX 7

Kikundi cha Sanaa cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Tanzania (TaSUBA) kikionyesha igizo lake mbele ya washiriki mbalimbali toka nchi wanachama wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) ambapo igizo hilo likimaanisha namna gani nchi hizo zinavyopaswa kuonyesha ushirikiano wa karibu katika masuala mbalimbali kwa manufaa ya nchi zote za Jumuiya ya Afrika Mashariki 12 Septemba, 2017 Mjini Kampala, Uganda.

(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM, KAMPALA-UGANDA)

About Alex

Check Also

06

Tamasha la Utamaduni Tukuyu Ni Chachu ya Kukuza Na Kuendeleza Utamaduni Nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (aliyevaa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *