Friday , October 28 2016

Recent Posts

Mafunzo ya Wajumbe wa Kamati ya Shule ya Msingi Uhelela Yapunguza Idadi ya Wanafunzi Watoro

images

Na. Lilian Lundo – MAELEZO – Dodoma Serikali kupitia Mpango wa Kuinua Ubora wa Elimu Tanzania (EQUIP-T) imefanikiwa kupunguza utoro katika Shule ya Msingi Uhelela iliyoko Wilayani Bahi mkoani Dodoma kupitia mafunzo ya usimamizi wa shule  wanayopewa wajumbe wa Kamati za Shule za Msingi Mkoani humo. Mwenyekiti wa Kamati ya …

Read More »

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA ATEMBELEA MRADI WA UZALISHAJI KOKOTO WA SUMA – JKT, PONGWE MSUNGULA MKOANI PWANI

k7

Kamishna Jenerali wa Magereza, CGP- John Casmir Minja akisalimiana na baadhi ya Maafisa Watendaji katika mradi wa Uzalishaji kokoto wa SUMA – JKT uliopo Pongwe Msungula, Mkoa wa Pwani leo Oktoba 28, 2016 alipotembelea mradi huo ili kujionea shughuli za uzalishaji wa kokoto. Meneja Msaidizi wa Mradi wa Uzalishaji kokoto …

Read More »

Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Akabidhi Msaada wa Vyakula na Matunda Hospitali ya Mental Kidongochekundu Zanzibar

shek

Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akikabidhi msaada wa Matunda na Vyakula kwa Hospitali ya Mental Kidongochekundu Zanzibar akipokea msaada huo Daktari Mkuu wa Hospitali hiyo Bi Zainab Kassim. hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya hospitali hiyo huko Mental. Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe …

Read More »

CHAMA CHA MAPINDUZI CHAWAJIBU WAPINZANI WAKE, UZUSHI WA MITANDAONI

ole

Ndugu Christopher Ole Sendeka, Msemaji wa CCM na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa akizungumza kwenye mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika leo tarehe 28/10/2016 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam. …………………………………………………………. Kwa muda sasa kumekuwepo na usambazaji …

Read More »

BODI YA USHAURI MAABARA YA MKEMIA MKUU IANDAE MIKAKATI KABAMBE KUSAIDIA MAABARA HIYO

thab

Na Fatma Kassim Waziri wa Afya Zanzibar Mahmuod Thabit Kombo amesema kuwa  na Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ina nafasi kubwa ya kufanya uchunguzi ambao unasaidia kutatua matatizo mbalimbali kiafya katika jamii. Amesema kutokana na kuwa Bodi hiyo inawalinda wananchi na mambo mbalimbali yanapelekea madhara ni vyema kufanya kazi …

Read More »

NAIBU KATIBU MKUU, BALOZI SIMBA AITAKA KAMATI YA KUPAMBANA NA BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI BINADAMU KUWEKA MIKAKATI YA KUDHIBITI WAHALIFU WA BIASHARA HIYO HATARI NCHINI

01

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya akizungumza na Wajumbe wa Kamati na Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji Binadamu kabla ya kufungua Mkutano wa siku mbili wa wajumbe hao unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara …

Read More »

WADAU WA LUGHA WAPONGEZWA KWA KUKUZA, KUENEZA NA KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI

lug1

Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia James Wambura (kushoto) akizungumza na Wadau wa Lugha ya Kiswahili (hawapo pichani) wakati wa kikao na wadau hao kujadili changamoto zinazokabili Tasnia ya Lugha nchini na kuzipatia ufumbuzi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Lugha Hajjat Shani Kitogo …

Read More »

WAPIGA CHENI WALALAMIKIWA KWA KUVIZIA MAGARI JIJINI MWANZA.

1

“Kama kuna watu wanajua kuvizia, basi hawa jamaa wa cheni wanaongoza, wanaweza kukuona unaelekea kuegesha gari eneo lisilo sahihi pengine bila kujua, badala wakuambie, wao hujificha na ukiisha egesha gari utaona wanavyolikimbilia”. Amelalamika mmoja wa madereva Jijini Mwanza ambaye gari lake limeviziwa na kufungwa cheni na vijana wanaokusanya ushuru wa …

Read More »

WAZIRI MBARAWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA MISRI NA CANADA.

1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa (kulia), akizungumza na Balozi wa Misri nchini, Yasser Elshawaf kuhusu masuala mbalimbali ya Sekta ya Miundombinu ofisini kwake jijini Dar es salaam. Balozi wa Misri nchini, Yasser Elshawaf (kushoto), akifurahi jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa,  …

Read More »

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2016 SHULE YA SOUTHERN HIGHLANDS MAFINGA YAJIPONGEZA KUFANYA VIZURI

img_20160910_120911

 Mwanafunzi  aliyeongoza masomo yote Rahma Mdeka akipokea cheti cha kuhitimu darasa la  saba na zawadi yake  wakati wa mahafali ya shule ya  Southern Highlands Mafinga    Mkurugenzi wa shule za Southern Highlands Mafinga ,Mary  Mungai  kulia akitambulisha watumishi  wa  shule  hiyo.  …………………………………………………………………………………………… Na MatukiodaimaBlog  UONGOZI  wa  shule ya  Southern Highlands …

Read More »

SHULE YA SEKONDARI YA ALMUNTANZIR YA JIJINI DAR ES SALAAM YATOZWA FAINI KWA UCHAFUZI WA MAZINGIRA

pina2

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina (katikati) alipofanya ziara ya kukagua mazingira katika kiwanda cha kutengeneza viroba vya mifuko Unberg International kilichopo jijini Dar es salaam.      Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Luhaga Mpina …

Read More »

RAIS DK. ALI MOHAMED SHEIN AKIZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS,TAWLA ZA MIKOA,SERIKALI ZA MITAA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

zum2

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Mpango kazi wa mwaka 2016-2017   katika  utekelezaji wa  robo mwaka ya kwanza ya Julai-Septemba 2016 kilichofanyika …

Read More »

Dkt. Kitima; Bodi ya Ithibati ya Wanahabari haitazuia uhuru wa habari.

kiti

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Stella Marios cha Mtwara Padre, Dkt. Charles Kitima  akichangia mada katika moja ya Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere.( PICHA KUTOKA MAKTABA) …………………………………………………… Na: Frank Shija, MAELEZO 27.10.2016 Uanzishwaji wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari kama ilivyoainishwa katika Muswada wa Huduma …

Read More »