Monday , August 29 2016

Recent Posts

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI, MHE. GEORGE MASAJU AVIASA VYAMA VYA SIASA KUHESHIMU KATIBA YA NCHI

mn

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mh. George Masaju akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam wakati alipoelezea masuala mbalimbali ya  kisheria yanayozuia maandamano  ya Ukuta yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Mendeleo CHADEMA, kulia ni Asiatu Msuya Ofisa habari wa ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. ……………………………………………………………………………….. Na Hassan …

Read More »

Vyombo vya usimamizi wa Sheria vyatakiwa kutoa adhabu mbadala kwa wahanga wa dawa za kulevya nchini.

MRE1

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole nchini Dkt. Augustine Mrema (kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao mapema hii leo jijini Dar es Salaam na kuwaeleza umuhimu vyombo vya usimamizi wa sheria nchini kutoa adhabu mbadala ya kifungo cha nje kwa wahanga wa matumizi ya dawa …

Read More »

Msanii Nigeria atoa msaada kwa Kituo cha Kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kigamboni Community Center

nig2

Mwanzilishi wa Kampuni ya Mahusiano ya Umma, LAS Consultancy Bi. Salha Kibwana  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ziara ya msanii Omo Alhaji, Jagabana maarufu YCEE (hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Meneja Miradi wa Tinny Entertainment Oladaro Pratt na Mkurugenzi wa Kituo cha Kulelea …

Read More »

MHE. KAIRUKI AWATA WATUMISHI WA UMMA NCHINI KUJIJENGEA UWEZO KATIKA MAENEO YATAKAYO HARAKISHA MAENDELEO

SONY DSC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akitoa ufafanuzi wakati wa kipindi cha TUNATEKELEZA kilichorushwa na Runinga ya Taifa (TBC-1). Kushoto ni muongozaji kipindi hicho Bi. Eshe Muhidin. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa …

Read More »

Waziri Nape Nnauye awataka Watanzania kuwapa Moyo Wanamichezo nchini.

MIC1

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (Mb) (kulia) akimkabidhi cheti Mwanariadha Alphonce Simbu baada ya kuibuka mshindi wa nafasi ya tano katika Mashindano ya Olimpiki yaliyomalizika hivi karibuni mjini Rio, Brazil. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (Mb) (kulia) akimkabidhi King’amuzi cha …

Read More »

Assumpter Mshama atembelea kiwanda na kujionea gari la mfano la zimamoto litakalotengenezwa nchini

zim3

Mkuu wa wilaya ya Kibaha ,Assumpter Mshama ,akielezwa jambo na mkurugenzi mtendaji wa kiwanda cha Equator Suma  Jkt , Robert Mangazeni,kuhusu kiwanda hicho kinachotarajiwa kutengeneza matrekta na magari ya zimamoto,kilichopo RuvuJkt ,Mlandizi mkoani Pwani.(Picha na Mwamvua Mwinyi) Gari la  zimamoto litakalokuwa la  mfano kutengenezwa katika kiwanda cha Equator Suma  Jkt …

Read More »

MHE. AUGUSTINO MREMA AWATAKA WATANZANIA KUYAPUUZA MAANDAMANO YA CHADEMA SEPTEMBA MOSI MWAKA HUU

mrema

Na Ismail Ngayonga-MAELEZO Dar es Salaam   WAZIRI wa zamani wa mambo ya ndani ya nchi, Augustino Mrema amewataka Watanzania kuyapuuza  maandamano ya Septemba Mosi mwaka huu yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na badala waendelee na shughuli za ujenzi wa Taifa. Mrema alisema hakuna haja ya kufanya …

Read More »

DC IKUNGI AWASWEKA RUMANDE VIONGOZI WANNE WA KIJIJI CHA KAUGERI

njo

Mkuu wa wilaya Ikungi, Miraji Mtaturu, akikagua ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kaugeri wilayani humo ambayo mkandarasi ametoweka bila kukamilisha ujenzi. ………………………………………………………………….. MKUU wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Miraji Mtaturu, ameamuru kuwekwa ndani kwa viongozi wanne wa kijiji cha Kaugeri kilichopo katika wilaya hiyo kwa kosa la kuuza …

Read More »

KIFAHAMU KIPINDI KIPYA CHA ‘CHUKUA HATUA’ KINACHOHUSU VIJANA MKOANI DODOMA

Picha namba 1

 Watangazaji wa kipindi kipya cha CHUKUA HATUA Happy Balisidya na Mohammed Hammie, siku ya kwanza walipokutana wakati wa maandalizi ya kutengeneza kipindi hicho. Mohammed Hammie na Happy Balisidya wakiwa katika nyuso za furaha baada ya kufahamu watakuwa wakiendesha kipindi cha CHUKUA HATUA. — Chukua Hatua ni kipindi kipya cha radio …

Read More »