Wednesday , August 24 2016

Recent Posts

WAZIRI PROF.MBARAWA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA

SP3

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa tatu kulia), akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kanda ya Afrika Mashariki Dkt. Nyamajeje Weggora (wa tatu kushoto), alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa kwanza …

Read More »

MPINGA CUP NI ELIMU TOSHA YA USALAMA BARABARANI KUPITIA MICHEZO

mp001

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani (T) DCP Mohammed Mpinga akikagua timu mara baada ya kuwataka na kuwaelimisha waendesha pikipiki (Boda Boda) kuzingatia, kuzifuata na kuziheshimu Sheria za Usalama Barabarani ili kuweza kupunguza wimbi la ajali za waendesha Pikipiki hapa nchini. Kupitia mashindano ya Mpinga Cup 2016 inayohusisha waendesha Pikipiki …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AKUTANA UONGOZI WA KAMPUNI YA MILLICOM

mil3

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo (kushoto) Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel  ,[Pivha na Ikulu.]23/08/2016. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la …

Read More »

KIJANA ALIYEENDA KUSOMA UJERUMANI, AITUMIA FURSA HIYO KUSAKA WAWEKEZAJI NCHINI

1

Kijana Petro Magoti kutoka Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM,  aliyeko Ujerumani kwa masomo ya Uongozi na Uhusiano wa Kimataifa, akiagana na mmoja wa wamiliki wa viwanda vikubwa Duniani, Prof. Karl Knoop, baada ya kuzungumza naye,  mjini Berlin, Ujerumani, juzi. Kushoto ni Meya  wa mji wa Bugermeister, David Osthotlhoff. …………………………………………… *NI PETRO MAGOTI *AKUTANA NA …

Read More »

SHULE YA SEKONDARI PWANI MALI YA JUMUIYA YA WAZAZI MJI WA KIBAHA YAUZWA KIUTATA

PW

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha SHULE ya sekondari ya Pwani,inayomilikiwa na jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi(CCM)Mji wa Kibaha ,iliyopo kata ya Tangini,inadaiwa kuuzwa pasipo kushirikishwa viongozi wa kata na wilaya. Shule hiyo inadaiwa kuuzwa pamoja na shamba la jumuiya hiyo lililopo Simbani ,vinasadikiwa kuuzwa kwa SUA Morogoro kwa gharama …

Read More »

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA WILAYA YA KASKAZINI ”B” UNGUJA

HAR

Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar  Naibu Waziri wa Afya Harusi   Said Suleiman amesema hapendelei kuona  wauguzi wanatumbuliwa  majipu kutokana na uzembe wao  lakini hayuko tayari kutumbuliwa yeye kwa ajili yao . Hayo aliyasema wakati alipokuwa akifanya ziara ya kutembelea vituo mbali mbali vya Afya Wilaya ya Kaskazini B Unguja  vikiwemo …

Read More »

MAJALIWA: FANYENI UKAGUZI KUBAINI WALIOKULA FEDHA ZA USHIRIKA NA KUWACHUKULIA HATUA

PIN

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati walipokutana katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu,   kwenye kijiji cha Majimoto wilayani Mlele Agosti 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo …

Read More »

Hati za viwanja vya Bayport zaendelea kutolewa kwa wahusika

hati 1

Afisa Sheria wa Bayport Financial Services, Mrisho Mohamed, katikati akimkabidhi hati mteja wao Mary Simon, baada ya kukamilisha taratibu za kupata kiwanja cha Vikuruti, vilivyopo Mlandizi, wilayani Kibaha, mkoani Pwani. Viwanja hivyo vinapatikana kwa njia ya fedha taslimu na mikopo maalumu kwa watumishi wa umma, wafanyakazi wa kampuni binafsi na …

Read More »

Serikali kutangaza zabuni Changamani

uh11

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye …………………………………………………….. Na Raymond Mushumbusi WHUSM Serikali inatarajia kutatangaza zabuni kwa ajili ya kupata kampuni itayojenga kijiji cha michezo changamani kilichopo Temeke Jijini Dar es Salaam. Kauli hiyo imetolewa  leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA STAT OIL YA NORWAY IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

wag2

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya Mafuta ya Stat Oil ya Norway, Bw. Oystein Michelsen kabla ya kupokea taarifa ya maendeleo ya mradi mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika gesi asili (LNG Plant) kinachotarajiwa kujengwa katika eneo la Likon’go, Mchinga Mkoani Lindi. Rais Dkt. …

Read More »

HITILAFU YA MKONGO WA MAWASILIANO (OPTIC FIBER), YATATIZA HUDUMA ZA TANESCO WILAYANI BAGAMOYO

bagamoyo

Sehemu ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ……………………………………………………………… NA MWANDISHI MAALUM SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) linaendelea kuwatangazia wateja wake wote wa Wilaya ya Bagamoyo kuwa, kutokana na kukatika kwa waya wa mawasiliano, (Optic Fiber) kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo, Ofisi ya Shirika hilo wilayani Bagamoyo bado inashindwa …

Read More »

UTOAJI WA MALALAMIKO NA KERO JUU YA HUDUMA ZA AFYA NCHINI PAMOJA NA MASUALA YA JINSIA, WAZEE NA WATOTO

index

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayo dhamana ya kusimamia na kuratibu Mipango, Sera, Sheria na Mikakati mbalimbali inayolenga kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini pamoja na kujenga jamii ya watanzania inayojali na kuheshimu Usawa wa Jinsia, Haki za Wazee na Watoto. Katika …

Read More »

Mhe. Ummy Mwalimu atoa wito kwa wananchi kutoa ushirikiano Mapitio ya Sera ya Afya

Waziri -1

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akitoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali ya wizara anayoiongoza alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akitoa wito kwa wananchi kushirikiana na wataalam wanaofanya  Mapitio …

Read More »

ASASI ZENYE MWELEKEO WA KUSHABIKIA USHOGA KUKIUKA MAADILI KUWAJIBISHWA

katb

Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe amezitaka asasi za kiraia zisiyumbishwe na misaada toka nje yenye mwelekeo wa kukinzana na mila, desturi, utamaduni, imani za Watanzania, sheria na Katiba ya nchi. …………………………………………………………. Mhe. Dkt Mwakyembe ametoa kauli hiyo jijini Dar es salaam alipokutana na uongozi wa …

Read More »

Dawasco Kanda ya Tabata yaendelea kutoa Vifaa kwa ajili ya wateja wanaunganishiwa huduma za maji

index

Na: Frank Shija, MAELEZO. Huduma za uunganishaji wa mabomba ya maji kupitia program ya kuunganishwa bila ya kuwepo kwa gharama za awali kwa Wateja wa Dawasco Kanda ya Tabata waendelea kushika kasi kutokana na muitikio mkubwa wa wananchi wanaoishi maeneo hayo Hayo yamesemwa na Afisa Uhusiano wa Dawasco Makao Makuu …

Read More »

Hakuna mvutano wowote kati ya Bandari na wamiliki wa Bandari Kavu

maxresdefault

Benjamin Sawe-Maelezo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya habari iliyoandikwa na Gazeti la Mwanahalisi Toleo Na. 353 la Agosti 22-28, 2016 kama ifuatavyo; Hakuna mvutano wowote ambao umetokea kati ya Mamlaka na Wamiliki wa Bandari Kavu nchini juu ya kuhifadhi mizigo inayopakuliwa bandarini. Mnamo …

Read More »

MBUNGE WA JIMBO LA RUFIJI ATOA MSAADA WA MABATI 650 KWA AJILI YA UJENZI WA UZIO WA UWANJA WA MPIRA

mab2

Mbunge wa  jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa kushoto akikabidhi msaada wa mabati kwa ajili ya kuweka uzio katika uwanja wa mpira ulipo katika shule ya msingi Muhoro Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani,(PICHA NA VICTOR MASANGU Mbunge wa jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa akisalimiana na wazee maarufu ambao ni wadau wakubwa …

Read More »