Friday , June 23 2017

Home / Alex

Alex

MSIWATOZE KODI YA MAJENGO WAZEE WA MIAKA 60-MAJALIWA

MAJALIWA TRA CHATO CUE IN

*Ataka TRA wafanye sensa ya majengo kwenye miji WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka maafisa wa Mamlaka ya Kodi ya Mapato nchini (TRA) wakusanye kodi za majengo kwa kuzingatia sheria na wasitoze kodi ya majengo wazee wenye umri zaidi ya miaka 60. “TRA ijipange kukusanya kodi za majengo kuanzia Julai Mosi …

Read More »

FANYA YAFUATAYO KUNOGESHA SIKUKUU YA EID-AL-FITR

muslims-celebrate-eid-ul-fitr_2f5d50bc85058ce7

Na Jumia Travel Tanzania Ni siku chache zimebakia kabla ya waumini wa dini ya kiislamu nchini na duniani kote kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa kusherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr. Zipo namna tofauti za kusherehekea sikukuu hii kulingana na sehemu watu walipo. Jumia Travel ingependa kukushirikisha mambo yafuatayo …

Read More »

KOZI YA WAAMUZI YASOGEZWA MBELE

unnamed

Kozi ya waamuzi wa mpira wa miguu, iliyolenga kuwainua  madaraja kutoka madaraja waliyonayo sasa hadi ngazi moja juu, imesogezwa mbele kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya TFF, Saloum Chama. Chama amesema kwamba kozi hiyo iliyopangwa kufanyika kuanzia Juni 29, mwaka huu itafanyika hapo baadaye katika tarehe itakayopangwa, …

Read More »

UCHAGUZI RUREFA KUFANYIKA JULAI 5, 2017

malinzi1

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imetangaza kuwa Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), utafanyika Agosti 05, mwaka huu mjini Sumbawanga. “Napenda kuwatangazia wadau wote wa RUREFA kuwa mchakato wa uchaguzi utaendelea kuanzia pale ulipokomea,” alisema Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi …

Read More »

SPIKA NDUGAI APOKEA VITABU KUTOKA KWA MTANDAO WA KUONDOA UMASKINI KWA AJILI YA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

4

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akipokea vitabu kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa kuondoa umasikini, Ndg. Mungwe Athman (katikati) kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, wa pili kushoto ni Meneja wa Mtandao huo Ndg. Peter Yobwa na Wageni wengine …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

index

WATOTO WAWILI WAMEFARIKI DUNIA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA AJALI YA MOTO ULIOUNGUZA NYUMBA WILAYANI ILEMELA. KWAMBA TAREHE 21.06.2017 MAJIRA YA SAA 22:30HRS KATIKA MTAA WA KIGOTO KATA YA KIRUMBA JIJI NA MKOA WA MWANZA, WATOTO WAWILI WALIOFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1.DAUD SAID MIAKA 07, MWANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA KATIKA …

Read More »

TETESI ZA SOKA ZA USAJILI BARANI ULAYA ALHAMISI JUNI 22,2017

_93630299_rexfeaturesd

 Na Salim Kikeke Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa, 28, atakaidi hatua ya Antonio Conte na kukataa kuondoka Stamford Bridge, hadi akubaliwe kurudi Atletico Madrid (Daily Star). Diego Costa amewaambia Atletico Madrid kuwa anataka kurejea Spain. Kutokana na Atletico kufungiwa kusajili, hata akisajiliwa sasa hatoweza kucheza hadi Januari (Sky Sports). Thibault …

Read More »

Multichoice Tanzania Yasaidia Watoto Yatima

2

Meneja Uendeshaji wa Multichoice Tanzania Baraka Shelukindo akikabidhi mashuka kwa Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Al-Madinnah kilichopo Tandale jijini Dar es Salaam Kuruthum Juma (wa pili kulia). Wa pili Kushoto ni Malkia wa Taarabu Hadija Kopa na kulia ni  Muigizaji maarufu wa tamthilia ya Huba Riyama Ali …

Read More »

WAZIRI WA MICHEZO DKT.MWAKYEMBE AMPONGEZA MWENYEKITI WA BMT,DIONIS MALINZI KWA HATUA YA BARAZA KUZUIA VIONGOZI KUWA NA KOFIA MBILI KWENYE MCHEZO MMOJA

image.php

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe amempongeza Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bw. Dionis Malinzi kwa hatua kadhaa ambazo baraza lake limeanza kuchukua katika kusimamia michezo nchini, likiwemo zuio kwa viongozi kuwa na kofia mbili kwenye mchezo mmoja. Katika salamu alizomtumia …

Read More »

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE FUTARI CHATO

MAJALIWA CHATO CUE IN 1

*Ahimiza nyumba za ibada zisitumiwe vibaya WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaomba waumini wa dini za Kiislamu na Kikristo nchini wahakikishe nyumba zao za ibada hazitumiki kuleta migogoro. Ametoa ombi hilo jana usiku (Jumatano, Juni 21, 2017) wakati akizungumza na mamia ya waumini wa dini za Kikristo na Kiislamu pamoja na …

Read More »