Thursday , January 19 2017

Home / bukuku

bukuku

Adama Barrow aapishwa kuwa rais wa Gambia

adama

SOURCE BBC Adama Barrow, mtu aliyeibuka mshindi katika uchaguzi wa urais nchini Gambia ameapishwa rasmi kuwa rais wa taifa hilo. Alikula kiapo hicho katika ubalozi wa Gambia nchini Senegal huku akiwaagiza wanajeshi wa Gambia kusalia katika kambi zao. Ametambuliwa kimataifa. Lakini aliyekuwa rais wa taifa hilo Yahya Jammeh amekataa kujizulu …

Read More »

SERIKALI YAONYA WAWEKEZAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO

gambo

Na Woinde Shizza,Arusha. …………………………………………………………… Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa serikali haitasita kuwachukulia hatua wawekezaji wanaochochea migogoro katika wilaya ya Ngorongoro na kusababisha uvunjifu wa amani hivyo kuchangia kuzorota kwa shughuli za maendeleo. Gambo ameyasema hayo katika ziara yake wilayani Ngorongoro inayolenga kutatua migogoro wa pori tengefu …

Read More »

WAKUU WA MASHIRIKA YA UMEME KUTOKA NCHI KUMI ZA EASTERN AFRICA WAKUTANA ARUSHA KUJADILI NAMNA YA KUUNDA MIFUMO YA USAFIRISHAJI UMEME KWA NCHI HIZO

oka

Na Woinde Shizza,Arusha …………………………………………………………… Wakuu wa mashirika umeme kutoka katika nchi kumi za Afrika zinazozalisha umeme(Eastern Africa Power pool(EAPP) zimekutana  jijini arusha kwa malengo ya kujadili mfumo wa usafirishaji wa umeme ikiwa ni pamoja na namna wananchi wao watakavyoweza pata nishati ya umeme kwa uraisi tofauti na sasa Hayo yalisemwa …

Read More »