Thursday , January 19 2017

Home / BIASHARA

BIASHARA

Habari za kibiashara.

HALI YA UPATIKANAJI WA CHAKULA NCHINI NI YA KURIDHISHA.

SE4

Mwenyekiti wa Kitengo cha Nafaka na Mamalishe wa Soko la Kisutu jijini Dar es Salaam,Bw.  Mohamed Salum akielezea jambo kwa mwandishi wa habari kuhusu hali ya upatikanaji wa chakula katika Soko hilo leo jijini Dar es Salaam. Mohamed amesema kuwa chakula kinapatikana kwa wingi kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa. Picha …

Read More »

TUME YA MIPANGO YATEMBELEA KIWANDA CHA TANGA CEMENT

1

Meneja wa Kiwanda cha Tanga Cement, Mhandisi Ben Lema (mwenye Miwani) akimwonesha Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (mwenye koti jenkundu) eneo (halipo pichani) linalochimbwa na kiwanda hicho kwa zaidi ya miaka 30 kwa ajili ya kupata malighafi zinazotumika katika kutengeneza saruji kiwandani hapo.  Wengine ni …

Read More »

UHABA WA FEDHA WAKWAMISHA KUPATIKANA KWA MBEGU ZA MITI TANZANIA

wakala

Na Debora Sanja, Bunge. WAKALA wa Mbegu za Miti Tanzania (TSSA) unakabiliwa na uhaba wa fedha hali inayokwamisha uaandaji wa mbegu bora. Taarifa hiyo ilitolewa Mjini Morogoro jana wakati Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ilipotembelea Ofisi za Wakala huo. Akiwasilisha mada katika mkutano wa wafanyakazi wa Wakala …

Read More »

WASAA-TANZANIA YAZINDUA FURSA ZA WANAWAKE KUWEKEZA SEKTA YA KILIMO

JAG3

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage,akiongoza na Rais wa Asasi isiyo ya Kiserikali ya Wasaa-Tanzania Chapter  inayojishulisha na bidhaa za kilimo kusini mwa jangwa la sahara, Margaret Chacha, wakati wa ufunguzi wa semina ya kuwajengea uwezo wanawake katika  fursa za uwekezaji wa viwanda iliyofanyika katika ukumbi wa 5s …

Read More »