Thursday , April 27 2017

Home / BURUDANI

BURUDANI

Habari za Burudani

MISS TANZANIA SUPERMODEL ATEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA.

AA

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe,Naibu Waziri wake Mhe.Anastazia Wambura,Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba,baadhi ya wa bunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wakiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Miss Tanzania Supermodel Bi.Asha Mabula katika viwanja vya Bunge mara baada ya mrembo huyo …

Read More »

Waibuka Washindi Kampeni Ya ‘Hamasika Na Masika’ Ya Mobisol

A

Mwakilishi wa Mobisol mkoa wa Dar es Salaam,Allan Rwechungura (kulia) akiwasiliana na mmoja wa washindi,kushoto ni mwakilishi kutoka bodi ya Taifa ya michezo ya kubahatisha,Jued Ngolo Mwakilishi wa Mobisol mkoa wa Dar es Salaam,Allan Rwechungura akimwonyesha Ofisa kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Jued Ngolo  namba ya mmoja wa washindi. ………………..   …

Read More »

MAHAFALI YA PILI YA KIDATO CHA SITA WAMA NAKAYAMA YAFANA

4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete pamoja na viongozi wengine wakiangalia kwa vitendo majaribio ya kiyasansi kutoka kwa wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya sekondari ya WAMA NAKAYAMA kwenye sherehe za mahafali yao ambapo …

Read More »

Alphonce Simbu atua London – Asema Atapambana kufakupona!

unnamed

Dar es Salaam, Alhamisi Aprili 20, 2017;Mwanariadha pekee wa Tanzania anayeshiriki mashindano ya London Marathon yanayofanyika jijini London jumapili hii amewasili Uingereza tayari kwa mashindano hayo ambayo yanayotarajiwa kushirikisha wanariadha mashuhuri duniani. Alphonce, ambaye ni Mtanzania wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika mashindano maarufu ya Standard Chartered Mumbai Marathon, …

Read More »

WATANZANIA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA TAMASHA LA JAMAFEST LITAKALOFANYIKA NCHINI UGANDA MWAKA HUU

jamafest1

Na. Abuu Kimario,Bodi ya Filamu Tanzania Watanzania wanaojihusisha na shughuli mbalimbali za ubunifu wamehimizwa kutumia fursa zinazopatikana kwenye tamasha la kazi za utamaduni na sanaa kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki JAMAFEST. Rai hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa wajasiriamali wilaya ya Kinondoni Mwanne Yusuf Msekalile almaarufu Mwanamakuka kwenye kikao …

Read More »

HAKUNA VIKWAZO TENA TAMASHA LA “NYANZA FESTIVAL” JIJINI MWANZA.

IMG-20170410-WA0000

Baadhi ya wadau wanaosaidia kufanikiwa kwa Tamasha la Nyanza Festival 2017 ni SBL-Pepsi, Delta Media Studios, Kali Boy Music, Lake Fm, Passion Fm, Metro Fm, City F, Barmedas Tv, Binagi Blog-BMG, Tanzania Bloggers Network-TBN na Tamara Entertainment. BMGHabari Hatimaye uongozi wa Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza, umethibitisha kwamba tamasha …

Read More »

Taifa Moja kunogesha Pasaka kwa Matamasha

download (1)

Kampeini ya Taifa Moja inatarajiwa kuendelea mwishoni mwa wiki hii kwa matamasha ambayo yatafanyika kwenye mikoa mitano hapa nchini ikiwa na lengo ya kuendelea kutoa burundani pamoja elimu kwa Watanzania juu ya kutuma na kupokea fedha kutoka kwenye mtandao wowote kwa gharama ile ile. Taifa Moja ni kampeini ambayo imedhaminiwa …

Read More »

WAZIRI MKUU MSTAAFU WA ISRAEL AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII NA KUPOLEWA NA WAZIRI PROF. JUMANNE MAGHEMBE

MAGHEMBE EDUD 3

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akisalimiana na familia ya Waziri Mkuu Mstaafu wa Israel, Ehud Barak (kulia) alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) jana kwa ajili ya ziara ya kutembelea vivutio vya utalii nchini. Waziri Mkuu huyo wa 10 wa Israel aliliongoza taifa hilo …

Read More »

WAIMBAJI MGUU SAWA TAMASHA LA PASAKA

SAMA01

NA MWANDISHI WETU ZIKISALIA siku sita kabla ya kishindo cha Tamasha la muziki wa injili la Pasaka litakalofanyika katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, waimbaji wote wapo katika maandalizi ya mwisho kabla ya tukio. Tamasha hilo la kimataifa litakalozinduliwa Uwanja wa Uhuru mbele ya mgeni rasmi Waziri wa …

Read More »

MISS TANZANIA DIANA EDWARD AKAMILISHIWA ZAWADI ZAKE

ot pic-9796

 Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa (kulia) akimkabidhi fedha taslim kiasi cha Sh. Milioni mbili (2Mil.), Mrembo mwenye taji wa Tanzania kwa Mwaka 2016 – 17, Diana Edward ikiwa ni sehemu ya stahiki yake aliyotakiwa kuipata baada ya kutwaa taji hilo, mapema mwaka jana. Fedha hizo zimetolewa …

Read More »