Tuesday , February 21 2017

Home / MCHANGANYIKO

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

NHC YAELEZEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UJENZI WA NYUMBA

1

Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa ( NHC ),Erasto Chilambo (katikati) akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo akielezea utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa nyumba ya Shirika hilo ( kushoto), Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba …

Read More »

Wakazi wa kisiwa cha Kojani Pemba wahamasika kuchimba vyoo na kuvitumia baada ya kupatiwa elimu ya afya na usafi wa mazingira.

kojani

Na Masanja Mabula -PEMBA WAKAAZI wa kisiwa cha kojani wamesema  juhudi zinazofanywa na serikali pamoja na taasisi mbali mbali juu ya kuwaelimisha umuhimu wa matumizi ya vyoo  zimeleta mafanikio ambapo kwa sasa wamehamasika kuchimba vyoo na kuvitumia. Wamesema kabla ya kuelimishwa umuhimu wa kutumia vyoo, walikuwa wakitumia sehemu za fukwe …

Read More »

Katibu Sekretarieti ya kupambana na biashara haramu ya usafirishaji binadamu awapa somo wapelelezi polisi, mahakimu, waendesha mashtaka nchini

mwag1

Katibu wa Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Binadamu kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Separatus Fella, akitoa hotuba ya kufunga Mafunzo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Wanasheria Wasio na Mipaka (Lawyers Without Borders) ya nchini Marekani. Mafunzo hayo yaliratibiwa na Wizara hiyo ambapo …

Read More »

TAMKO LA SERIKALI MCHEZO WA SIMBA NA YANGA

2

Ndugu Watanzania Jumamosi, tarehe 25/02/2017 saa 10.00 jioni Uwanja wa Taifa tutakuwa na mchezo mkubwa wa kati ya Simba SC na Yanga FC. Ikumbukwe kuwa mchezo uliopita wa timu hizi uliochezwa kwenye uwanja huu tarehe 1/10/2016 zilitokea vurumai zilizosababisha Serikali kuufungia Uwanja kwa zaidi ya miezi mitatu.Vurugu hizo zilisababisha uharibifu …

Read More »

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA MBULU

02

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimiana wanakwaya wa Shule ya Sekondari ya Singiland wilayani Mbulu wakati alipowasili kwenye uwanja wa michezo wa Mbulu kuhutubia Mkutano wa hadhara, Februari 20, 2017. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Mbulu mkoani Manyara, Februari 20, 2017. (Picha na …

Read More »

WAZIRI MKUU: HOSPITALI YA HAYDOM KUPANDISHWA HADHI

Capture

Waziri MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haina kipingamizi na wazo la kuifanya hospitali ya rufaa ya Haydom kuwa ya kanda kwani hatua hiyo itaupunguzia mzigo Serikali. “Serikali hii ni sikivu, na kuifanya hospitali hii kuwa ya kanda ni kazi ndogo. Kwa hiyo nitamleta Waziri wa Afya aje awaongoze kusimamia vigezo …

Read More »