Thursday , January 19 2017

Home / MCHANGANYIKO (page 10)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

VIDEO:NAIBU WAZIRI ANGELLINA MABULA ” IUNDWE KAMATI YA UCHUNGUZI JUU YA UPIMAJI WA VIWANJA KATIKA HALMASHURI MPYA YA PERAMIHO”

nOP

Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, DOKTA. ANGELLINA MABULA , ameagiza kuundwa kwa kamati ya uchunguzi wa viwanja vinavyopimwa katika halmashauri mpya ya peramiho, iliyopo wilaya ya songea mkoani mkoani Ruvuma, baada ya kuonekana kuwepo na ujanjaujanja katika upimaji huo ikiwemo kufanya uchunguzi wa utunzaji wa kumbukumbu …

Read More »

Wanawake wanaoshiriki katika mradi wa Wanawake Kwenye Usukani (WOW) wapewa mafunzo ya haki za wanawake

3

Martin Gabone-Mkurugenzi Mkuu Mradi wa Wanawake Kwenye Usukani (WOW) akifungua semina ya mafunzo ya haki za wanawake wanaoshiriki katika mradi huo iliyofanyika mwishoni mkwa wiki Kinondoni jijini Dar es salaam. Martin Gabone-Mkurugenzi Mkuu Mradi wa Wanawake Kwenye Usukani (WOW) akimtambulisha WIGAYI KISSANDU-Mwanasheria Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC)  …

Read More »

DR.CONGO PUNGUFU YAILAZA MOROCCO AFCON 2017

DR CONGO

DR Congo imeitwanga Morocco 1-0 na kuandika ushindi waPili katika michuano ya Afcon 2017 inayofanyika nchini Gabon baada ya Senegal kuwa timu ya kwanza kushinda. DR.Congo walipata ushindi huo  kupitia bao la Junior Kabananga aliyefunga katika dakika ya 55. Hata hivyo, Morocco ndiyo waliokuwa wakishambulia zaidi kuliko DR Congo waliokuwa …

Read More »

IVORY COAST NA TOGO NGUVU SAWA AFCON 2017

Togooooooo

Timu za Ivory Coast na Togo zimeshindwa kutambiana katika michuano ya Kombe la Mataifa barani ‘AFCON’ inayoendelea nchini Gabon baada ya kutoka sare ya bila kufungana mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Stade d’Oyem mjini Oyem. Mchezo huu umechezwa majira ya saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki licha ya …

Read More »

WENGI WAJITOKEZA KUMUAGA AMINA ATHUMAN JIJINI DAR

MUO

 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Gazeti la Uhuru, Amina Athuman  walipokuwa wakioutoa nyumbani kwake Banana, Dar es Salaam leo, kuliingiza kwenye gari tayari kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Lushoto kwa mazishi. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)  Mwili wa aliyekuwa …

Read More »