Monday , October 23 2017

Home / MCHANGANYIKO (page 2)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

WALIMU SIKONGE WAIANGUKIA SERIKALI KUWALIPA MADAI YAO.

kinana

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na baadhi ya walimu mkoani Tabora wakati alipofanya ziara mkoani humo mwaka 2015.(PICHA NA MAKTABA ……………………………………………………………………………………………. Na Tiganya Vincent-TABORA.                    WALIMU wilayani Sikonge wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kulipa madai ya muda mrefu kwani yamekuwa yakipunguza ari ya utekelezaji wa majukumu …

Read More »

BODI YA FILAMU TANZANIA YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MUIGIZAJI NGULI WA FILAMU SHAMILA MFIKIRWA.

index

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini Tanzania Bi.Bi.Joyce Fissoo. …………………………………………………………… Bodi ya Filamu Tanzania imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Muigizaji nguli Shamila Mfikirwa. Katika Salamu zake kwa Rais ya Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifamba, Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji Ndugu Elia Mjata na wanafamilia …

Read More »

UKAGUZI RELI YA KISASA USIKU WALETA HAMASA

1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Yapi Merkezi Abdullah Kilic, anayejenge reli ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam-Morogoro  yenye urefu wa KM 205 eneo la Soga, mkoani Pwani. Meneja Mradi wa ujenzi wa Reli …

Read More »

“MONDULI AMKENI MAENDELEO YATALETWA NA SISI WENYEWE”-GAMBO

unnamed

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo yuko katika ziara ya siku mbili wilayani Monduli mkoani Arusha.Katika ziara ziara hiyo iliyoanza tarehe 20/10 /2017  Gambo ametembelea Kata ya Moita vijiji vya Kilimatinde, Moita Bwawani na Moita Kiloriti, pamoja na kutembelea miradi mbalimbali, kuhamasisha wananchi kujiletea maendeleo Mhe Gambo amefanya …

Read More »

MKIKITA WAMLAKI KWA SHANGWE MFILIPINO MTAALAMU WA MASOKO

01

 Mtaalamu wa masuala ya Masoko kutoka Ufilipino, Dk.Wenfredo Muni akikabidhiwa zawadi ya maua na Meneja Uhusiano wa Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita), Neema Fredrick wakati wa mapokezi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam  jioni hii. Aliyevaa fulana ya njano ni Mkurugenzi Mtendaji wa …

Read More »

SERIKALI YAMWAGA AJIRA 400 TRA

IMG_2885

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto) akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Shinyanga kuhusu kufanya juhudi ya kukusanya mapato ili azma ya Serikali ya kuwahudumia wananchi kikamilifu itimie. Meneja wa Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Shinyanga, Bw. …

Read More »