Tuesday , October 24 2017

Home / MCHANGANYIKO (page 20)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

KATIBU MKUU MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO BIBI SIHABA NKING AFUNGUA MKUTANO WA MKUU WA MWAKA KWA MAAFISA WA USTAWI WA JAMII NCHINI MJINI DODOMA

Pix 7

Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga akisikiliza Maelezo kutoka kwa washiriki tofauti  wa Mkutano Mkuu wa Maafisa  Ustawi wa Jamii nchini katika moja ya eneo la maonesho ya masuala yahusuyo Ustawi wa Jamii wakati wa Ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika UDOM Mjini Dodoma. Kaimu …

Read More »

MHASIBU AHUKUMIWA JELA KWA KUMKASHIFU RAIS MAGUFULI

prisoner-jail

Mhasibu wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Joseph, Elizabeth Asenga (40) amehukumiwa kulipa faini ya Sh 5 milioni ama kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kukutwa na hatia katika shitaka la kutuma ujumbe wa kumkashifu Rais John Magufuli kupitia mtandao wa WhatsApp. Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Huruma Shaidi, …

Read More »

JPM Aitaka Alat Kuongeza Kasi ya Ukusanyaji Mapato

a15

Na. Paschal Dotto- MAELEZO. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka watendaji wa Serikali za Mitaa kusimamia wananchi wao kulipa kodi ili kuimarisha huduma za jamii kwa watanzania kwani kodi itaongeza mapato na kuboresha huduma za jamii. Akizungumza  leo jijini Dar es Salaam  katika mkutano …

Read More »

WAZIRI MBARAWA: WAKANDARASI JENGENI BARABARA KWA VIWANGO

3

Serikali imesema  itahakikisha inaendelea kuwasimamia wakandarasi wa Ujenzi wa Barabara kuhakikisha wanajenga barabara  zote nchini kwa viwango vilivyokusudiwa  na kumaliza kwa wakati ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa leo jijini Dar es salaam mara baada …

Read More »

TIRA -YATOA MAFUNZO KWA ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MKOA WA PWANI KUKABILIANA NA WAMILIKI NA MADEREVA WANAOTUMI STIKA ZA BIMA FEKI

3

NA  VICTOR  MASANGU,  PWANI KATIKA kukabiliana na kupambana na  wimbi la wizi linalofanywa na  baadhi ya wamiliki wa  magari na pikipiki  kuamua kutumia stika za bima bandia hatimaye  Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za  bima  nchini (TIRA) imeamua kutoa mafunzo kwa askari wa kikosi cha usalamaa barabarani Mkoa wa Pwani …

Read More »

DK.KIKWETE -NILIGUNDUA NA KIPAJI CHA KUCHEZA MPIRA WA KIKAPU NIKIWA SEKONDARI

1

Rais mstaafu wa awamu ya nne  ,Dk.Jakaya Kikwete, akionekana pichani ,wakati akizungumza na viongozi mbalimbali wilayani Kibaha na Mkoa wa Pwani,walimu,wanafunzi na wazazi wa wanafunzi wa shule ya sekondari Kibaha,huko shirika la elimu Kibaha.(picha na Mwamvua Mwinyi) ………………………………………………………………….. Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha RAIS mstaafu wa awamu ya nne ,Dk.Jakaya Kikwete ,amesema …

Read More »

MKUU WA MKOA WA MWANZA AKUTANA NA WAGENI KUTOKA MAREKANI

1

Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella akizungumza na wageni/ watumishi wa Mungu kutoka taasisi ya More International Ministry ya Marekani ikiongozwa na Mwinjilisti Rojas Matias, walipomtembelea ofisini kwake jana.    Watumishi hao walikuwa na mkutano mkubwa wa injili tangu Septemba 27 hadi Oktoba Mosi, 2017 katika uwanja wa Sabasaba …

Read More »

WAKAZI WA GEITA WATAKIWA KUWA MAKINI NA MATUMIZI YA MITANDAO

DSC_1814

Naibu  mkurugenzi toka mamlaka  ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Thadayo Ringo  akizungumza na waandishi wa habari wakati wa semina ya kuelekezwa namna ya kuhama  mtandao bila ya kubadilisha namba ya simu.   Mwandishi mwandamizi wa Nipashe na RFA Mkoani Geita Renatus Masuguriko akiuliza swali wakati wa semina. Mhandisi mwandamizi Mwesigwa Felician  …

Read More »