Tuesday , February 21 2017

Home / MCHANGANYIKO (page 3)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

ZAIDI YA WANANCHI 500 WAPIMA AFYA BONANZA LA WANAHABARI

MUNGI

Mkuu wa Mawasiliano  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Bw. Innocent Mungy akizungumza katika bonanza hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. ……………………………………………………………………. Na Hassan Silayo Zaidi ya wananchi 500 wakiwemo waandishi wa Habari na Maafisa Mawasiliano Serikalini wamepima afya katika bonanza lililoandaliwa na Chama cha Maafisa Mawasiliano serikalini, jukwaa la wahariri na …

Read More »

“Tunatamani ifike mahali watanzania wakiweke kiswahili kwenye roho zao” Prof. Ole Gabrieli

images

Immaculate Makilika- MAELEZO Serikali imesema inatamani kuona watanzania wanakiweka  kiswahili kwenye roho zao kwa kufikiri na kuzungumza lugha hiyo katika maeneo na shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa ili kukienzi pamoja na kuipa heshima inayostahili. Akizungumza katika kipindi cha Je tutafika?  kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Channel ten,  Katibu …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOA WA MWANZA

BAN2

TAREHE 19.02.2017 MAJIRA YA SAA 7:25HRS ASUBUHI KATIKA STANDI YA KAMANGA FERI KATA NA WILAYA YA NYAMAGANA JIJI NA MKOA WA MWANZA, MTU MMOJA ALIYEJULIKANA KWA JINA LA STANSLAUS LUCAS, MIAKA 38 MKURYA NA MKAZI WA NYAKATO NATIONAL, ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA …

Read More »

MSIOGOPE KUKOPA, ASEMA WAZIRI MKUU

picha+miwa

*Asisitiza dawa ya deni, kulipa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima wakubwa na wadogo wa miwa kwenye kiwanda cha sukari cha Manyara wachukue mikopo kama wanataka kuendeleza kilimo hicho. Ametoa wito huo jana jioni (Jumapili, Februari 19, 2017) wakati akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda hicho pamoja na wananchi wanaoishi maeneo …

Read More »