Thursday , April 27 2017

Home / MCHANGANYIKO (page 30)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

ZANZIBAR RASMI YAPATA UANACHAMA WA CAF NA FIFA

CVVVVVVVVVVVVV

Hatimaye Kilio cha Wazanzibara kimepata jibu baada ya mkutano mkuu wa 39 wa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) unaoendelea mjini Addis-Ababa, Ethiopia, umepitisha ombi la chama cha soka Zanzibar (ZFA) kuwa mwanachama rasmi wa CAF. Ni jambo la kihistoria kwa Zanzibar kwani safari hii ombi lao limepitishwa bila kupingwa …

Read More »

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA DAWA NA VIFAA TIBA KUTOKA SERIKALI YA WATU WA CHINA

BOH3

Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar                              Mkurugenzi  Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar  Zahran Ali Hamad amesema upatikanaji wa huduma ya dawa muhimu katika wodi za wazazi umefikia asilimia 96 na wazazi wamekuwa wakipata huduma bila usumbufu. Amesema Bohari Kuu ya dawa hivi sasa imeimarika na wamekuwa wakisambaza dawa hizo katika Hospitali na vituo …

Read More »

KITUO CHA EATV NA TAASISI YA HAWA YAWASHUKURU WATANZANIA KWA KUFANIKISHA KUCHANGIA KAMPENI YA ‘NAMTHAMINI’

NAM

Afisa Masoko wa East Afrika Radio Basilisa Biseko akizungumza mbele ya waandishi wa Habari (hawapo pichani),mapema leo jijini Dar,kuhusua mafanikio yaliyopatikana kupitia kampeni ya ‘NAMTHAMINI’,Basilisa amebainisha kuwa kupitia EATV na East Africa Radio pamoja na Taasisi ya Haki za Wanawake (Hawa Foundation) imefanikiwa kukusanya michango ya fedha taslim na pakiti …

Read More »

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA AMUANGUKIA WAZIRI MWIJAGE

POLE

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na waandishi wa Habari ambao hawapo pichani kuhusiana na suala hilo    Mkurugenzi Uzalishaji wa kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro, Vivek Pandey akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na shirika la viwango Tanzania (TBS) kutotoa kibali cha ubora unaohitajika …

Read More »

PLUIJM ATUA SINGIDA UNITED,AMSAJILI MZIMBABWE

pluijm

Kuna msemo unasema ukisema cha nini,wenzako wanajiuliza watakipata Lini baada ya kutupiwa Virango na Mabingwa watetezi ambaye alikuwa kipenzi cha mashabiki wa Wana jangwani Mholanzi Hans Van Der Pluijm hatimaye amejiunga na klabu ya Singida United iliyopanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Msimu ujao. Inasemekana aliyekamilisha suala nzima la usajili …

Read More »

HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA SIMBA KUHUSU AJIBU NA MKUNDE

jonas-mkude-wa-simba-akishangilia-2016_wurkxze8jfpv1cw44hzrzo82r

Na.Alex Sonna Hatimaye zile kelele za mashabiki wa Yanga kuhusu suala la kuwasajali wachezaji muhimu wa Simba ambao mikataba yao ilikuwa inaelekea ukingoni ambao wameamua kukata mzizi wa fitini kwa kuongeza mikataba mipya katika klabu hiyo inayoongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara Mwenyekiti wa usajili wa klabu ya Simba …

Read More »

WATENDAJI WA SERIKALI WAAGIZWA KUWALINDA WAWEKEZAJI WAZAWA

NSSF-CEO

Serikali imewataka viongozi wa kisiasa pamoja na watendaji wa serikali kutotumia madaraka yao vibaya kuwanyanyasa na kuwasumbua wawekezaji wazawa waliowekeza ndani ya nchi. Aidha viongozi hao wametakiwa kuwaheshimu na kuwajengea mazingira rafiki yatakayowawezesha kufanya biashara zao kwa amani ili kuweza kukuza uchumi wa taifa na kuongeza ajira kwa vijana. Kauli …

Read More »

NI WAJIBU WA MAAFISA MAWASILIANO KUHUISHA TOVUTI ZAO-DKT.JABIR

02 SAYANSI

     Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Maafisa Mawasiliano Serikalini wametakiwa kutumia tovuti za ofisi na tovuti kuu ya Serikali kwa kuweka taarifa mbalimbali zinazohusu huduma na bidhaa zinazotolewa na taasisi hizo ili kuwawezesha wananchi kuzifahamu huduma hizo kirahisi. Rai hiyo imetolewa leo Mkoani Dodoma na Mtendaji Mkuu wa Wakala …

Read More »

WAZIRI NAPE AZIPA KONGOLE KURUGENZI ZA IKULU NA IDARA YA HABARI MAELEZO

Nape-11Dec2015

Na Mwandishi Wetu-Dodoma Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye amezipongeza Kurugenzi za Mawasiliano Ikulu na Idara ya Habari MAELEZO kwa ubunifu wanaouonesha katika kuelezezea mafanikio ya Serikali kwa kutumia teknolojia mbalimbali za habari na mawasiliano. Waziri Nape alisema licha ya changamoto ya vifaa vinavyowakabili Maafisa Mawasiliano wa …

Read More »