Thursday , January 19 2017

Home / MCHANGANYIKO (page 329)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

MALINZI AMLILIA JOAO HAVELANGE

president

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), kutokana na kifo cha Rais wa zamani wa FIFA, Joao Havelange aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100. Katika salamu hizo, Rais Malinzi amesema …

Read More »

MALINZI AMPONGEZA RAIS BFA

malinziArst

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za pongezi Rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Botswana Maclean Letshwiti aliyechaguliwa kushika wadhifa huo katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Maclean Letshwiti ambaye ni nguli katika masuala ya biashara, alimshinda Tebogo Sebego …

Read More »

FANYENI UKAGUZI KUBAINI WANAFUNZI HEWA-MAJALIWA

kas5

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Viongozi na Watumishi wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es salam kwenye  Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu) Baadhi ya Viongozi na watumishi wa Manispaa ya Ilala wakisikiliza Waziri …

Read More »

Singida yazindua huduma tembezi za madaktari bingwa

m01

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida John Mwombeki akisoma taarifa ya hali ya afya Mkoa wa Singida wakati wa uzinduzi wa huduma tembezi za kibingwa. Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew J. Mtigumwe akihutubiwa wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma tembezi za madaktari bingwa Mkoani Singida. Baadhi ya wakazi …

Read More »