Tuesday , February 21 2017

Home / MCHANGANYIKO (page 4)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

WAZIRI MKUU AKERWA MBOLEA YA MINJINGU KUPEWA LEBO YA KENYA

MINJI

 Mifuko ya mbolea ya kiwanda cha Minjingu mkoani Kagera  ikiwa na maandishi yanayoonyesha kuwa mbolea hiyo inazalishwa nchini Kenya. Mifuko hiyo ambayo ilishuhudiwa na Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa Februari 19, 2017  wakati alipotembelea kiwanda hicho, ilimkera sana na aliuagiza uongozi wa kiwanda hicho  kumuandikia barua Rais John Pombe Magufuli  ya kumuomba …

Read More »

“OPERESHENI LIPA KODI YA PANGO LA ARDHI”

2

Mhe. Mabula akikagua mifumo ya ulipaji kodi ya pango la Ardhi sambamba na kuhakiki kumbukumbu za umiliki wa Ardhi Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. Ikiwa Operesheni Lipa Kodi ya Pango la Ardhi inaendelea, ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa notisi ya siku 14 …

Read More »

TAARIFA YA MSIBA WA INNOCENT WAPALILA

iw

Familia ya Mzee Meinuf Wapalila na Victoria Bernard Ngowi wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao Innocent Wapalila kilichotokea Leeds, Uingereza tarehe 17/02/2017. Msiba na utaratibu wa kusafirisha mwili na mazishi unafanyika Mbezi Beach jijini Dar es salaam mtaa wa Almasi nyumba namba 7. Kwa uingereza, msiba upo nyumbani kwa marehemu …

Read More »

​​ WAZIRI MKUU AKERWA MBOLEA YA MINJINGU KUPEWA LEBO YA KENYA

2

*Ataka waandike barua ya kuomba radhi kwa Rais Magufuli *Aagiza Waziri wa Biashara aje na timu yake Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Mifuko ya mbolea ya kiwanda cha Minjingu mkoani Manyara ikiwa na maandishi yanayoonyesha kuwa mbolea hiyo inazalishwa nchini Kenya. Mifuko hiyo ambayo ilishuhudiwa na Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa Februari 19, …

Read More »

PLAN INTERNATIONAL WAZINDUA MPANGO KAZI UTAKAOISAIDIA SERIKALI KUFIKIA SDGs IFIKAPO 2030

LORAND

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Shirika la Kimataifa lisilo la Kiserikali la Plan International limezindua Mpango Kazi wa miaka 5 utakaowawezesha wasichana wanaoishi katika mazingira magumu kujitambua na kujisimamia wenyewe katika nyanja mbalimbali zitakazowaletea maendeleo.   Mpango kazi huo unaanza mwaka 2017- 2022 ukiwa na lengo la kuwasaidia wasichana 1,000,000 ulimwenguni …

Read More »

Usajili wa Tigo Kili Half Marathon 2017 jijini Dar Es Salaam

KILI1

 Katibu wa Kawe jogging Social and sport Club,  Seif Muhere akipokea tiketi za Kili marathon kutoka kwa Mwakilishi wa Tigo,  Viola Mboya kwa ajili ya ushiriki wa mashindano Tigo Kili Half Marathon 21Km, yanayotarajiwa kufanyika jumapili ijayo Tarehe 26 Februari  mkoani Kilimanjaro. Usajili huo ulifanyika jana Jumamosi Mlimani city jijini …

Read More »