Friday , June 23 2017

Home / MCHANGANYIKO (page 5)

MCHANGANYIKO

mchanganyiko

KIGOGO TRA AJITOSA URAIS TFF

unnamed

Ofisa wa juu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shija Richard akitoka ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Uwanja wa Karume Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuchukua fomu kuwania urais wa shirikisho hilo. (Na Mpigapicha Maalum).  Na Mwandishi Wetu MBIO za kuwania uongozi wa Shirikisho la Soka …

Read More »

TETESI ZA SOKA ZA USAJILI BARANI ULAYA JUMATATU JUNI 19,2017

17362664_406304773082640_315171132366752716_n

Na Salim Kikeke Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemwambia wakala wake Jorge Mendes kufanikisha uhamisho wake kurejea Manchester United (Sun). Manchester United watawapa Real Madrid David de Gea, 26, pamoja na pauni milioni 183, ili kumsajili Cristiano Ronaldo, 32 pamoja na Alvaro Morata, 24 (Tuttosport). Manchester United itawapa Real …

Read More »

WAZAZI WENYE WATOTO WALEMAVU WAASWA KUACHA KUWATELEKEZA/KUWANYANYAPAA

2

MWENYEKITI wa chama cha waandishi wa habari wanawake mkoani Pwani,(PWMO),Mwamvua Mwinyi,akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na halmashauri ya Chalinze na chama hicho,uliolenga kutoa sauti ya pamoja kukemea vitendo vya unyanyasaji kwa watoto.  MTOTO mwenye ulemavu Ibrahim Ramadhani ,alietelekezwa na mama yake mzazi akiwa na miezi tisa ambapo kwasasa akisoma shule ya …

Read More »

Serikali Haitachukua Hatua kwa Chombo cha Habari Kinachokosoa

OTH_7838

Frank Shija – MAELEZO SERIKALI imesema kuwa hakuna chombo chochote cha habari kitakachochukuliwa hatua kwa kuandika habari zenye mrengo wa kukosa sera na utekelezaji wake kama ambavyo wadau wengi wamekuwa wakiaminisha umma. Kauli hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt. Hassan Abbasi wakati akizungumza katika Kipindi …

Read More »

WAZIRI MAGHEMBE AZINDUA MRADI WA BIL. 47 WA UHIFADHI NA MAENDELEO YA IKOLOJIA YA PORI LA AKIBA LA SELOUS (SECAD)

DSC_0610

NA HAMZA TEMBA – WMU …………………………………………………………………… Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe kwa kushirikiana na Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Egon Konchanke amezindua Mradi wa Uhifadhi na Maendeleo ya Ikolojia ya Pori la Akiba la Selous SECAD (Selous Ecosytem Conservation and Development Program) ambao umefadhiliwa na Serikali ya …

Read More »

MIGUU YA AJIBU INAVYOIKOSA AKILI YA NIYONZIMA

19366607_1874851449506273_2101855680784521917_n

ABDUL DUNIA Titi la Mama ni tamu. Hata likiwa la mbwa. Kiswahili naazimu. Sifayo inayofumbwa. Niimbe ilivyo kubwa. Toka kama chemuchemu.Titi la Mama litamu jingine haliishi hamu. Aliwahi kuandika hayati Shaban Robert katika moja ya vitabu vyake. Nimemaliza kufuturu hapa kwa mama Dunia. Futari yake imenikumbusha mbali sana. Tangu mwezi …

Read More »

SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA HARAMBEE YA UJENZI WA JENGO LA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA TUKIO LILILOFANYIKA LEO MJINI DODOMA.

NDU1

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa kabla ya kuanza harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, katika tukio lililofanyika leo Mjini Dodoma, Spika Ndugai pia ni Mgeni rasmi na aliongoza Wabunge katika …

Read More »

Mkurugenzi wa Hamidu City Park, Kigamboni Bw.Hamidu Mvungi awaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki

HAM1

Bw. Hamidu H. Mvungi miliki wa kijiji cha Hamidu City Park,  Mikwambe Kibada  Kigamboni chenye nyumba 1500 akizungumza na wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika futari aliyowaandalia wageni wake wakiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mh .Hashim Mgandilwa ambapo aliwashukuru wageni waalikwa hao kwa kujumuika naye katika futari hiyo katika …

Read More »

TAIFA LA WATU WAADILIFU HUANZIA KWENYE FAMILIA – WAZIRI MKUU

pind1

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Kushoto)  akiwa ameongozana na Waziri Mkuu Mstaafu  Mizengo  Pinda na  Mkewe  Tunu  Pinda  walipo mpokea  katika makazi yao yaliyopo Zuzu Nnje Kidogo ya  Mjini Dodoma   June 17, 2017   kuhudhuria Misa ya kumbukumbu ya Marehemu  Mzee Exavery  Pinda  Baba Mzazi wa  Mizengo  Pinda, Pamoja  nakuongoza  Uchangiaji  wa …

Read More »

TIGO YAFUTURISISHA WATOTO YATIMA MIKOA YA MWANZA NA MBEYA

tg

Mwanafunzi wa darasa la nne wa  Islamic Yatima Foundation Fadhira  Hamidu, akipokea msaada wa chakula kwa niaba ya wengine,  kutoka kwa Meneja Mauzo Mkoa wa Mwanza  wa Kampuni ya Tigo Kassim Aziz Kassim, wakati wa hafla ya makabidhiano eneo la Ilemela jijini Mwanza juzi.Msaada wa Sh 3.5 Milion ulipokelewa  Mwanafunzi …

Read More »

VIDEO – “RAIS AMETUNGUA VICHAKA” MWIGULU NCHEMBA

MAGU 4

Ikiwa zimepita siku chache tangu Rais Magufuli kuzuia watu kuwahusisha marais wawili wastaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na Benjamin Mkapa katika sakata la mchanga wa dhahabu maarufu kama makinikia kwani katika ripoti zote mbili hakuna sehemu ambayo imewataja wastaafu kuhusika. Waziri wa Mambo ya ndani na Mbunge wa jimbo la …

Read More »