Thursday , January 19 2017

Home / MCHANGANYIKO / Sports

Sports

Et ullamcorper sollicitudin elit odio consequat mauris, wisi velit tortor semper vel feugiat dui, ultricies lacus. Congue mattis luctus, quam orci mi semper

OMBI LA ZANZIBAR KUJADILIWA CAF

QCAF

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) la Zanzibar kuwa mwanachama kamili wa CAF. Katika kikao chake cha Kamati ya Utendaji kilichoketi Januari 12, mwaka huu kiliamua kupitisha ombi hilo kuwa moja ya ajenda za Mkutano …

Read More »

FIFA YAMTEUA MALINZI MJUMBE KAMATI YA MAENDELEO

president

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limemteua Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maendeleo ya soka ya FIFA kwa miaka minne ijayo. Uteuzi huo unaanza mwaka huu 2017 hadi 2021. Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Januari 18, 2017 iliyosainiwa …

Read More »

TIGO KILI HALF MARATHON 2017 YAZINDULIWA RASMI MJINI MOSHI

tigo

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata akizungumza na Waandishi wa habari wakati wa Uzinduzi wa Tigo Kili Half Marathon 2017uliofanyika juzi mjini Moshi. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Masoko wa GAPCO Caroline Kakwezi, Meneja Mauzo wa TBL Mkoa wa Kilimanjaro, Richard Temba na Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi …

Read More »

SIMBA YAPUNGUZWA KASI NA MTIBWA SUGAR MBIO ZA UBINGWA

MADO

  Timu ya  Mtibwa Sugar imeipunguza kasi Simba katika mbio za Ubingwa baada ya kuilazimisha sare ya bila kufungana 0-0 mchezo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara uliochezwa kwenye dimba la uwanja wa Jamhuri Morogoro. Kwa matokeo hayo Simba wamebaki katika nafasi ya kwanza wakiwa na pointi 45 nyuma ya …

Read More »

SIJASTAAFU KUFUNDISHA SOKA-LOUIS VAN GAAL

Tottenham-Hotspur-FC-Courting-Louis-van-Gaal

Aliyekuwa meneja wa Manchester United Louis Van Gaal amesema kuwa hajastaafu na kwamba anachukua likizo ya mda. Van Gaal mwenye umri wa miaka 65 hajajiunga na timu nyengine tangu aondoke Old Trafford mnamo mwezi Mei. Siku ya Jumatatu, gazeti moja la Uholanzi De Telegraaf lilisema Van Gaal amemaliza muda wake …

Read More »