Tuesday , February 21 2017

Home / MICHEZO

MICHEZO

Habari za Michezo

TAMKO LA SERIKALI MCHEZO WA SIMBA NA YANGA

2

Ndugu Watanzania Jumamosi, tarehe 25/02/2017 saa 10.00 jioni Uwanja wa Taifa tutakuwa na mchezo mkubwa wa kati ya Simba SC na Yanga FC. Ikumbukwe kuwa mchezo uliopita wa timu hizi uliochezwa kwenye uwanja huu tarehe 1/10/2016 zilitokea vurumai zilizosababisha Serikali kuufungia Uwanja kwa zaidi ya miezi mitatu.Vurugu hizo zilisababisha uharibifu …

Read More »

Usajili wa Tigo Kili Half Marathon 2017 jijini Dar Es Salaam

KILI1

 Katibu wa Kawe jogging Social and sport Club,  Seif Muhere akipokea tiketi za Kili marathon kutoka kwa Mwakilishi wa Tigo,  Viola Mboya kwa ajili ya ushiriki wa mashindano Tigo Kili Half Marathon 21Km, yanayotarajiwa kufanyika jumapili ijayo Tarehe 26 Februari  mkoani Kilimanjaro. Usajili huo ulifanyika jana Jumamosi Mlimani city jijini …

Read More »

MWANDEGE FC YAIBUKA KIDEDEA KATIKA ROBO FAINALI YA ULEGA CUP

mku1

Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega akikagua  wachezaji wa timu ya Mwandege katika  mechi iliyofanyika jana katika uwanja wa mpira Mkuranga. Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega akikagua  wachezaji wa timu ya Mkamba katika  mechi iliyofanyika jana katika uwanja wa mpira Mkuranga. Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega akiwa katika …

Read More »

CHUO CHA MAENDELEO YA MICHEZO MALYA HAZINA YA MICHEZO NCHINI.

1

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa pili kushoto) akiwasili Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya kilichopo mkoani Mwanza wakati wa ziara ya kikazi mwishoni wa wiki kujionea namna chuo hicho kinavyoendesha programu zake katika jitihada za kuendeleza sekta ya michezo nchini. Wa …

Read More »

DC SHINYANGA AONGOZA WANANCHI KUFANYA MAZOEZI

UF3A3851

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro leo Jumamosi Februari 18,2017 amewaongoza wakazi wa Shinyanga kufanya mazoezi katika viwanja vya Shycom mjini Shinyanga.  Mazoezi hayo yaliyoanza saa 12 asubuhi na kumalizika saa 2 asubuhi yamehudhuriwa pia na Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini,Stephen Masele na Kamanda wa Jeshi la polisi …

Read More »