Thursday , January 19 2017

Home / MICHEZO (page 20)

MICHEZO

Habari za Michezo

Yahaya ajiwekea malengo CAF

yahya

Category:  First Team Team:  Azam FC MSHAMBULIAJI mpya wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Yahaya Mohammed, ameweka wazi kuwa moja ya malengo yake makubwa ni kuisaidia timu hiyo kuingia kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika mwakani. Azam FC ndio wawakilishi wa Tanzania Bara …

Read More »

MAHREZ ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA YA BBC

tuzo-mahre

Riyad Mahrez ametawazwa kuwa Mwanakandanda Bora wa Afrika wa BBC wa Mwaka 2016. Mashabiki kutoka kila pembe ya dunia walimpigia kura nyingi kiungo huyu wa kati wa Algeria na Leicester kuliko Pierre-Emerick Aubameyang, Andre Ayew, Sadio Mane na Yaya Toure. Mahrez ameambia BBC Sport: “Naam, [tuzo hii] ina maana kubwa …

Read More »

SIMBA KAMA YANGA,YANYUKWA NA MTIBWA SUGAR CHAMAZI

simba-day-5

Na.Alex Mathias Baada ya watani zao Yanga kufungwa magoli 2-0 dhidi ya JKU ya Zanzibar mchezo wa Kirafiki na jioni ya Leo timu ya Simba imepokea kichapo cha magoli 2-1 toka kwa Mtibwa Sugar mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex,Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es …

Read More »

Kapombe ajipanga vilivyo kuelekea mzunguko wa pili VPL

chuma

BAADA ya kupona majeraha ya nyonga, beki wa kulia wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, amesema kuwa hivi sasa anapambana vilivyo kurejesha makali yake yaliyomfanya akubalike na mashabiki wa timu hiyo. Beki huyo kipenzi wa mashabiki wengi wa soka nchini, amerejea mazoezini hivi sasa …

Read More »

WANACHAMA SIMBA WAFANYA MABADILIKO YA KATIBA BILA VURUGU

katiba

 Katibu Mkuu wa klabu ya Simba SC Patrick Kahemele,amesema kuwa zaidi ya 98% ya wanachama waliohudhuria mkutano wameunga mkono agenda mabadiliko ya katiba iliyopelekwa kwenye mkutano wa dharura. Simba iliitisha mkutano mkuu wa dharura wenye leongo la kufanya mabadiliko ya katiba ya klabu ambayo ayataruhusu klabu hiyo kuendeshwa kwa mfumo mpya …

Read More »