Thursday , January 19 2017

Home / MICHEZO (page 3)

MICHEZO

Habari za Michezo

MAMILIONI YA WAARABU KUMNG’OA TAMBWE JANGWANI

NG'OA

Straika nyota wa Yanga, Amissi Tambwe, amebakiza miezi minne amalize mkataba wake wa kuitumikia klabu hiyo ambayo alijiunga nayo msimu wa 2014/15 akitokea Simba. Hata hivyo, Tambwe kabla ya kufanya mazungumzo na uongozi wa Yanga wa kuongeza mkataba mwingine wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, hivi karibuni amepokea ofa kwenda kujiunga …

Read More »

MKUTANO MKUU TAFCA KINONDONI

EAT

Mkutano Mkuu wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) Mkoa wa kisoka wa Kinondoni utafanyika Februari 18 mwaka huu jijini Dar es Salaam katika ukumbi utakaotangazwa baadaye. Mbali ya ajenda za Kawaida za kikatiba, Mkutano huo utaoongozwa na Mwenyekiti wake Eliutery Mholery utapanga tarehe ya uchaguzi ya Kamati …

Read More »

FAMILIA YA RIADHA YAMLILIA MAREHEMU AMINA ATHUMANI

index

RAIS wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka, kwa niaba ya familia ya wanariadha Tanzania, ametoa salamu za salamu za rambirambi kwa wadau wote wa tasnia ya michezo na habari Tanzania kutokana na kifo cha Mwandishi wa Habari za Michezo, Amina Athumani, kilichotokea Jumapili visiwani Zanzibar. Mtaka katika salamu …

Read More »

Mtanzanian Alphonce Simbu aibuka mshindi Mumbai Marathon 42Km!

simbu1

Mtazania Alphonce Simbu akimalizia mbio za Mumbai Marathon baada ya kuongoza na kwashinda wapinzania wake katika mbio hizo. Mtazania Alphonce Simbu  wa pili kutoka kushoto akiwa na washindi wenzake waliomfuatia mara baada ya kumalizia mbio hizoza Mumbai Marathon akiwa mshindi wa kwanza Mtazania Alphonce Simbu akionyesha medali yake ya dhahabu …

Read More »

RAMBIRAMBI MSIBA WA AMINA ATHUMANI

amina ENZI ZA UHAI WAKE

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi ametuma salamu za rambirambi kwa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani kutokana na kifo cha Mwanahabari za michezo, Amina Athumani. Katika salamu hizo ambazo pia zimekwenda kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za …

Read More »