Tuesday , February 21 2017

Home / MICHEZO (page 30)

MICHEZO

Habari za Michezo

Farid: Azam FC haijanibania kwenda Hispania

faridiiiiiiiiiiiiii

WINGA wa kushoto wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Farid Mussa, ameweka wazi kuwa mabingwa hao hawajambania kwenda nchini Hispania kucheza soka la kulipwa kama ilivyoripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari. Kwa kuudhihirishia umma, Mussa leo amejitokeza hadharani na kupinga madai hayo akidai kuwa muda wowote …

Read More »

MASHARTI LIGI KUU YA VODACOM DURU LA PILI

wamba

Duru la Pili la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi Desemba 17 kwa michezo minne kabla ya michezo mingine minne kufanyika siku ya Jumapili Desemba 18, mwaka huu. Katika mechi za kesho, Mabingwa watetezi wa taji hilo, Young Africans SC ya Dar es Salaam itakuwa mgeni …

Read More »

LUIZ SUAREZ ACHUKUA MAAMUZI MAGUMU BARCELONA.

Luis Suarez

Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amekubali kusaini mkataba mpya na vigogo hao wa soka nchini Uhispania unaofikia thamani ya Euro milioni 167 ikijumuisha kipengele cha kumuuza kwa timu itakayomuhitaji. Mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool amefunga magoli 97 na kushinda vikombe nane tokea alipohamia Nou Camp Julai 2014 kwa ada …

Read More »

AZAM FC YATAMBULISHA WACHEZAJI WAPYA CHAMAZI.

kikosi-aza

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo imetambulisha nyota wapya sita waliosajiliwa kwenye usajili wa dirisha dogo uliofungwa usiku wa kuamkia leo. Zoezi hilo lilihudhuriwa na viongozi wakuu wa Azam FC walikuwemo kwenye zoezi hilo, wakongozwa na Ofisa Mtendaji Mkuu, Saad Kawemba, Meneja Mkuu Abdul Mohamed, Meneja …

Read More »

CHELSEA NA MANCHESTER CITY WAPIGWA FAINI.

faini

Chelsea wamepigwa faini ya £100,000 na Manchester City wakapigwa faini ya £35,000 baada ya wachezaji wao kuhusika katika vurugu uwanjani wakati wa mechi ya Ligi ya Premia. Hisia zilipanda na wachezaji wakakabiliana mechi hiyo iliyochezewa uwanjani Etihad ilipokaribia kumalizika baada ya Sergio Aguero wa City kufukuzwa uwanjani kwa kumchezea visivyo …

Read More »