Thursday , January 19 2017

Home / MICHEZO (page 4)

MICHEZO

Habari za Michezo

Kivutio cha Kitalii cha Zanzibar: Ernie Els Design chasaini mkataba na Zanzibar Amber Resort kujenga uwanja wa Gofu wa kimataifa Zanzibar.

ZAM1

 Mkurugenzi wa Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohammed Said akitia saini mkataba wa makubaliano na mcheza Gofu duniani Ernie Els ambae ana kampuni ya Ernie Els Design huko Afrika Kusni leo   Mkurugenzi wa Zanzibar Amber Resort, Saleh Mohammed Said akiwa pamoja  na mcheza Gofu maarufu duniani Ernie Els ambae ana kampuni …

Read More »

FAINALI MAPINDUZI CUP –AMANI ZANZIBA

SIMO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwasalimia   wachezaji  wa Timu ya Simba   kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali …

Read More »

AFCON 2017 NDANI YA ZBC2 LIVE TOKA GABON LEO

log

Kuanzia mechi ya kwanza hadi ya mwisho ya fainali utaweza kuziona live kupitia ZBC2 ambapo utaweza kuangalia mechi zote za AFCON 2017. ZBC 2 ni channel ambayo unaweza kuangalia mechi zote za AFCON kuanzia mwanzo hadi mwisho. Tunaanza Leo hadi pale mwisho wa michuano hii itakapofikia. Kwa haraka na urahisi zaidi …

Read More »

YANGA YATOA MFUNGAJI BORA MAPINDUZI CUP 2017

Simon-Msuva-Yanga-Bongosoka

Mshambuliaji hatari wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania,Simon Msuva ametetea tena kiatu chake cha ufungaji katika Michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyofikia Tamati hivi leo kwa klabu ya Azam FC kutwaa kombe hilo kwa kuifunga Simba. Msuva ametwaa tuzo hiyo baada ya kufunga jumla ya magoli manne baada …

Read More »

LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA J’MOSI

images

Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), inatarajiwa kuendelea kesho Jumamosi Januari 14, 2017 kwa  michezo miwili. Katika michezo hiyo umo wa upinzani kati ya Stand United na Mwadui FC – zote za Shinyanga ambzo zitapambana kwenye Uwanja wa CCM Kambarage. Kadhalika siku hiyo ya Jumamosi Januari 14, 2017 Kagera Sugar itakuwa …

Read More »

AZAM SPORTS FEDERATION YAENDELEA

asfc

Michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho ya Azam (Azam Sports Federation Cup 2016/2017), inatarajiwa kuendelea kesho kwa kukutanisha timu za Ligi Daraja la Kwanza (FDL) baada ya hatua ya kushirikisha timu za daraja la pili na timu za ligi ya mikoa (RCL) kukamilika. Kesho Jumamosi Januari 14, mwaka huu, KMC …

Read More »