Thursday , January 19 2017

Home / MICHEZO (page 5)

MICHEZO

Habari za Michezo

RAIS MALINZI AMPONGEZA MKURUGENZI SINGO

malinziArst

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bw. Jamal Malinzi amempongeza Bw. Yusuph Singo Omari kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Tanzania. Mapema wiki hii, Yusuph Singo Omari, aliteuliwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye kushika wadhifa huo kujaza nafasi …

Read More »

UAMUZI WA KAMATI YA UTENDAJI YA CAF

CAF

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (CAF), limetoa nafasi ya mwisho kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Jamhuri ya Congo (FECOFOOT) kumpeleka mchezaji Langa Lesse Bercy jijini Libreville, Gabon kwa ajili ya kipimo kipya cha MRI ili kutambua umri wake. CAF limetaka FECOFOOT kumpeleka mchezaji huyo …

Read More »

SERIKALI YAWASHAURI WANAMICHEZO KUZINGATIA MKATABA WA KIMATAIFA WA UDHIBITI WA DAWA NA MBINU ZA KUONGEZA NGUVU MICHEZONI KWA MAENDELEO YA MICHEZO NCHINI.

KIGO

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa Bw. Mohamed Kiganja akizungumza na wadau, walimu na viongozi wa vyama vya michezo nchini wakati wa ufunguzi wa mkutano wenye lengo la kutoa mafunzo kwao kuhusu madhara ya matumizi ya dawa na mbinu za kuongeza nguvu michezoni uliofanyika katika Ukumbi ulipo katika …

Read More »

TAIFA ‘STARS’ YAPEWA KUNDI RAHISI KUFUZU AFCON 2019

Taifa-Stars-of-Tanzania- TANZANIA

Baada ya kusota kwa miaka kadhaa timu ya taifa ya Tanzania ‘Stars’kupangwa kwenye makundi magumu hatimaye CAF imeipa ahueni na kuipanga katika kundi L, kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019 nchini Cameroon pamoja na Uganda, Cape Verde na Lesotho. Hili linaweza kuwa kundi rahisi zaidi Taifa …

Read More »

WACHEZAJI WATATU WA ARSENAL WAONGEZA MIKATABA YAO

PINI

Wachezaji wa Arsenal Olivier Giroud, Laurent Koscielny na Francis Coquelin wameongeza kandarasi zao na klabu hiyo. Arsenal haijatangaza kuhusu kiwango cha kandarasi hizo ,lakini Koscielny amesema katika mtandao wa Twitter kwamba ataongeza kandarasi yake hadi mwaka 2020. ”Tunafurahi kwamba wachezaji watatu muhimu wameamua kusalia nasi kwa kipindi cha muda mrefu”, …

Read More »

LIGI KUU YA VODACOM KUENDELEA KESHO IJUMAA

Tff-Intro

Wakati timu pinzani ‘derby’ za JKT Ruvu na Ruvu Shooting zikitarajiwa kuchuana kesho Ijumaa Januari 13, 2017 kwenye Uwanja wa Mabatini, ulioko Mlandizi mkoani Pwani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), Bodi ya Ligi Kuu, imetangaza tarehe rasmi za michezo mitatu ambayo awali haikupangiwa tarehe katika ratiba. Mbali …

Read More »

AZAM SPORTS FEDERATION CUP 2016/17

aska

Baada kupatikana timu nne kutoka Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) katika michuano ya Kombe la Shirikisho ya Azam (Azam Sports Federation Cup 2016/2017), mapambano ya kuwania taji hilo, yanatarajiwa kuendelea kesho Januari 12, 2017 kwenye viwanja tofauti hapa nchini kwa kuzihusisha timu za Ligi Daraja la Pili (SDL). Timu …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI BARIADI MKOANI SIMIYU, AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA YA SIMIYU PIA AFUNGUA BARABARA YA BARIADI-LAMADI (KM 71.8)

simi2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa …

Read More »