Thursday , January 19 2017

Home / MICHEZO (page 63)

MICHEZO

Habari za Michezo

KUIONA SERENGETI BOYS, AFRIKA KUSINI SH 2,000, 5,000

images

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kiingilio cha Sh 2,000 kwa mzunguko na Sh 5,000 kwa jukwaa kuu wakati timu ya taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 itakapocheza na Amajimbos ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa kuwania nafasi ya kucheza fainali za …

Read More »

LIGI KUU YA VODACOM YAANZA, TFF YATOA ANGALIZO

images

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi Agosti 20, 2016 kwa michezo mitano huku Bingwa Mtetezi wa Kombe hilo 2015/16, Young Africans ya Dar es Salaam ikisubiri hadi Agosti 31, 2016 kuanza kutetea taji lake. Young Africans inatarajiwa kusafiri kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya …

Read More »

MALINZI AMLILIA JOAO HAVELANGE

president

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), kutokana na kifo cha Rais wa zamani wa FIFA, Joao Havelange aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100. Katika salamu hizo, Rais Malinzi amesema …

Read More »

MALINZI AMPONGEZA RAIS BFA

malinziArst

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za pongezi Rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Botswana Maclean Letshwiti aliyechaguliwa kushika wadhifa huo katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita. Maclean Letshwiti ambaye ni nguli katika masuala ya biashara, alimshinda Tebogo Sebego …

Read More »

JWTZ YANYAKUA VIKOMBE VITATU EAC KIGALI

JW2

Mwanariadha siata kalinga akipokea kikombe cha mshindi wa tatu kwa riadha wanawake kutoka kwa mkuu wa Naibu Mkuu wa majeshi wa Uganda Luteni Generali Charles Angina (Picha na Selemani Semunyu)   Mnadhimu mkuu wa Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania  Luteni Generali Venance mabeyo akisalimiana na wachezaji wa timu ya …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KIONGOZI MKUU WA MADHEHEBU YA BOHORA DUNIANI MTUKUFU DKT. SYEDNA MUFADDAL SAIFUDDIN (TUS) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

bu1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha  Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu …

Read More »