Thursday , January 19 2017

Home / SIASA (page 10)

SIASA

Habari za Siasa

CCM WATAKA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI KWA VITENDO

index

Na Mahmoud Ahmad Arusha CHAMA cha Mapinduzi, CCM, wilaya ya Ausha, kimeitaka serikali wilayani humo kuhakikisha inakamilisha mchakato wa kuwapatia vitambulisho wazee wote ili waweze kupata huduma kwa urahisi bila usumbufu kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo hospital. Hayo yameelezwa kwa nyakati tofauti na katibu wa CCM, wilaya hiyo, Feruzi Bano, kwenye …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AMALIZA ZIARA YA SIKU 5 MKOANI MWANZA

6

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Nyamagana kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa machinjio ya Nyakato.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya ujenzi  wa machinjio ya Nyamagana …

Read More »

Mchakato wa ndege za Saudi Arabia na Tanzania waanza kusukwa

seud

  *Ni matokeo ya kikao kati ya balozi Mgaza na Mkurugenzi Mkuu Saudi Arabian Airline   *Vivutio vingi vya utalii nchini Tanzania vyatajwa kwenye kikao hicho cha aina yake Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, H.E Balozi Hemedi Mgaza kulia, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Saudi …

Read More »

KITI CHA UMEYA CHAIVURUGA CHADEMA MBEYA MJINI

meya

Na Mwandishi Wetu, Mbeya. Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Wilaya ya Mbeya mjini, kimeingia kwenye mgogoro baina ya viongozi  na madiwani. Mgogoro huo, ambao unatajwa  kujikita zaidi kwenye maslahi binafsi ya watu, huenda ukakiathiri chama hicho kwa kutengeneza mpasuko, kama uongozi wa juu hautachukua hatua za haraka. Chanzo cha …

Read More »

CCM ZANZIBAR YAIPA MAJUKUMU MAZITO TAASISI YAKE YA UWT.

index

Na Is-haka Omar, Zanzibar. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  kimewataka Viongozi na Watendaji wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake  CCM (UWT) Tanzania  kuongeza juhudi katika kuimarisha Chama ili kiweze kushinda na kuendelea  kuongoza dola katika Uchaguzi Mkuu ujao. Rai hiyo imetolewa na Katibu wa Idara ya Organazesheni Afisi Kuu Zanzibar, …

Read More »