Thursday , January 19 2017

Home / SIASA (page 2)

SIASA

Habari za Siasa

MAJALIWA AWATEMBELEA BILAL NA SALMIN NYUMBANI KWAO ZANZIBAR.

bil3

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakizungumza  na  Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilali wakati walipokwenda nyumbani kwake eneo la Mbweni , Zanzibar januari 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa na Mkewe Mary  wakisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin  …

Read More »

WANAWAKE MKO WAPI UCHAGUZI MDOGO?

national_electoral_commission_tanzania_logo

               Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Hivi karibuni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza kufanya uchaguzi mdogo wa Ubunge pamoja na Udiwani kwa sehemu mbalimbali nchini ambazo viongozi wake wamefariki au wamepoteza sifa za kuendelea kuongoza wananchi katika sehemu husika. Uchaguzi huo unategemewa …

Read More »

Nana Akufo-Addo ndiye rais mpya Ghana

kufo

Wakili wa zamani wa haki za kibinaadamu, Nana Akufo-Addo, ameapishwa kuwa rais mpya wa Ghana, katika sherehe iliyohudhuriwa na viongozi kadha wa Afrika. Katika hotuba yake ya kwanza, Nana Akufo-Addo, alimsifu rais anayeondoka madarakani, John Dramani Mahama, kwa namna alivokiri kushindwa katika uchaguzi wa mwezi uliopita. Viongozi kadha wa Afrika …

Read More »

KINANA AZINDUA KAMPENI ZA CCM, DIMANI ZANZIBAR

dim1

Katibu Mkuu wa CCM,Andulrahman Kinana akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo la Dimani Juma Ali Juma, katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo, mjini Zanzibar, leo, Januari 5, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo). Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za …

Read More »

DKT. SENKORO KUZIKWA JUMAMOSI MAKABURI YA KINONDONI

senkoro

Na: Frank Shija – MAELEZO Mwili wa aliyekuwa Mgombea wa kwanza Mwanamke kuwania kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Anna Senkoro unatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam siku ya jumamosi tarehe 07/01/2017 kuanzia saa 8:00 mchana. Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar …

Read More »