Tuesday , February 21 2017

Home / SIASA (page 20)

SIASA

Habari za Siasa

SPIKA WA BUNGE, NAIBU SPIKA WAKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA

duga1

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Sarah Cooke aliyemtembelea mapema leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Pamoja na mambo mengine waliyozungumza Balozi huyo alimpa Mhe Spika pole kufuatia Kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la Tisa Marehemu Samwel Sitta . Spika wa Bunge Mhe Job …

Read More »

MATUKIO YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA LEO KATIKA PICHA

bug9

Baadhi ya mawaziri na wabunge  katika picha mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya bunge kuhudhulia mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Mussa Azan Zungu akitoa taarifa kwa wabunge kuhusu kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge Mhe. Samwel Sitta. Naibu Waziri …

Read More »

Ziara ya Mama Shein Kisiwani Pemba Kuzungumza na Wanawake wa UWT

mamas8

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Viongozi wa UWT Wilaya ya Micheweni alipowasili katika Kituo cha Walimu Skuli ya Wingwi.(Picha Othman Maulid) WANAWEKE wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakimshangilia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Kituo cha Walimu Wingwi Pemba.(Picha …

Read More »

PINDA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA

bn642198

 Wazuri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipotembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, jana. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.  Wazuri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati akizungumza na Naibu Katibu …

Read More »