Friday , June 23 2017

Home / SIASA (page 3)

SIASA

Habari za Siasa

NAIBU SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO

SAC1

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza jambo pale alipotembelewa na ugeni kutoka Shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalotekeleza Miradi Mbali mbali ya Afya hapa nchini lijulikanalo kama Jhpiego, wakiongozwa na Rais na Mtendaji Mkuu wa Jhpiego wa Dunia Dkt. Leslie Mancuso (kushoto), Makamu wa Rais …

Read More »

MPOGOLO AANZA ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA MKOA WA DAR ES SALAAM

ccm2

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, Lodrick Mpogolo, akizungumza na wanachama na Viongozi wa CCM Kata ya Manzese, wakati akiwa katika mfululizo wa ziara zake za kuimarisha Chama, ambapo leo amenza rasmi katika Mkoa wa Dar es Salaam. ************************************************* Na Ripota waMafoto Blog, Dar   CHAMA Cha Mapinduzi …

Read More »

DKT.MABODI: VIONGOZI WA CCM KUFANYENI KAZI ZA KIJAMII

kaz1

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Dkt. Abdalla Juma Saadala “ Mabodi”  na kushoto ni Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Nd. Abdulghafar Idrissa akifanya kazi ya kukandika udongo katika nyumba ya mwananchi Bi. Asha Abdalla  wa Shehia ya Fuoni Migombani  aliyebomokewa nyumba yake kutokana na maafa ya mvua …

Read More »

NEC Yaanza Maandalizi Uboreshaji Wa Daftari La Wapiga Kura

unnamed

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akifafanua jambo wakati akitoa elimu ya mpiga kura kwenye kituo cha redio Dodoma FM cha mjini Dodoma.Kulia kwake ni Afisa wa Tume Bw. Mawazo Bikenye na mbeye ni watangazaji .Picha na Hussein Makame, NEC-Dodoma. …………………………… Hussein Makame-NEC, …

Read More »

UVCCM MWAMBUGU ALIKUA NI MWANASIASA MZALENDO

kk9

Mhe Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akisain Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Marehemu Said Mwambungu leo  wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu Said Thabit Mwambungu kabla kusafirishwa kuelekea kijijini kwao Malinyi Morogoro kwa mazishi .    Kaimu Katibu …

Read More »

SHAKA AIPA BIG UP HALMASHAURI YA CHALINZE

unnamed

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)Taifa Shaka Hamdu Shaka wa kushoto pichani akiwa ameshikana mkono na msaidizi wa mbunge jimbo la Chalinze Iddi Swala. (picha na Mwamvua Mwinyi) . ……………………. Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani, imepongezwa kwa kuwa ya kwanza …

Read More »

SHAKA AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI KWA WANAFUNZI NA KUTOA VIFAA VYA UJENZI WA MIRADI MBALI MBALI YA KIMAENDELEO KWA MADIWANI WA KATA 15 JIMBO LA CHALINZE

chalinze12

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka  akizugumza katika Mkutano wa ndani na Viongozi wa mashina ,tawi ,kata,wenyeviti wa vijiji na kata  pamoja na madiwani wa kata 35 jimbo la Chalinze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chalinze akitolea ufafanuzi juu ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020 Wananchi pamoja …

Read More »

AFRIKA KUSINI KUENDELEA KUFUNDISHA MARUBANI WA KITANZANIA

KISA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa ngazi ya Mawaziri wa Kamisheni ya Pamoja ya Kitaifa kati ya Tanzania na Afrika Kusini, uliofanyika mapema leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini …

Read More »

UVCCM YASHITUKIA MCHEZO MCHAFU KISIASA

mpanda3

Na Mwandishi wetu, Rukwa Umoja wa Vijana wa CCM umewaonya watendaji wake kujiepusha na uvunjaji wa kanuni na maadili ya jumuiya  hiyo ikiwemo kuendesha mijadala inayozmgumzia masuala ambayo yaliopitishwa kwa mujibu wa vikao,  kikanuni na katiba ya CCM.   Pia umoja huo umelaani na kusema kitendo chochote  cha utovu wa …

Read More »

WAZIRI MKUU NA MATUKIO YA PICHA BUNGENI DODOMA LEO

MASHA5

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani, Lawrence Masha kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 9, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 9, 2017. (Picha na Ofisi …

Read More »

CCM Z’BAR YAWATAKA WANA CCM KUTUMIA VYEMA FURSA YA UCHAGUZI.

1

 Katibu wa Kamati ya NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi  Bi. Waride Bakar Jabu akizungumza na viongozi na wanachama wa Tawi la CCM Chukwani Zanzibar katika ziara yake ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi.  mwanachama wa Tawi hilo, Bw. Abdalla Said  akizungumza masuala mbali mbali yanayohusu uhai wa CCM katika Tawi …

Read More »