Thursday , January 19 2017

Home / SIASA (page 30)

SIASA

Habari za Siasa

Kikao cha Tatu leo 8/9/2016 Bungeni Mjini Dodoma.

mbo1

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (MB) akisalimiana na Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzania na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe (MB) wakati wa kikao cha tatu cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. …

Read More »

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA MAKAZI YAKE MAPYA MJINI DODOMA

UKA2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Badhi ya Mawaziri na viongozi wa mkoa wa Dodoma baada ya kukagua ujenzi wa makazi mapya ya Waziri Mkuu kwenye kilima cha Mlimwa mjini Dodoma Septemba 7,2016. Katikati ni mkewe Mary.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia …

Read More »

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI LEO

ms1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge  wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   akizungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 7, 2016. …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MSUMBIJI

moz2

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Bibi,Monica Patricio Balozi mpya wa Msumbiji katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo,(katikati) Balozi Mdogo wa Msumbiji anyefanyia kazi zake Zanzibae Bw. Jorge Augusto Menezes,[Picha na Ikulu.]07/09/2016. Rais …

Read More »

MAWAZIRI KATIKA KIKAO CHA PILI CHA BUNGE LEO MJINI DODOMA

MWA1

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Harrison Mwakyembe akiwaeleza jambo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (Kushoto) Mhe. Ruth Mollel na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu) Dkt Abdallah Possi. Wakati wa Kikao cha Pili cha Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano …

Read More »