Thursday , January 19 2017

Home / SIASA (page 4)

SIASA

Habari za Siasa

MTENGA -VYAMA PINZANI ACHENI POROJO AVITAKA KUONGEA KWA DATA/TATHMINI

cm-1

Diwani wa viti maalum,Kibaha Mjini Selina Wilson akimwombea kura mgombea mteule kupitia CCM kata ya Misugusugu katika uzinduzi wa uchaguzi mdogo katika kata hiyo. Katibu wa CCM mkoani Pwani,Hassan Mtenga akizungumza jambo katika kampeni za uchaguzi mdogo kata ya Misugusugu Mgombea mteule kupitia CCM kata ya Misugusugu,Ramadhani Bogas akiomba kura kwa …

Read More »

MUSOMA VIJIJINI WAWEKA WAZI MATUMIZI MFUKO WA JIMBO

diwa

Katibu wa Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini na Afisa Mipango wa Wilaya ya Musoma, Mukama Rugina (aliyesimama) akizungumza wakati wa mkutano wa kujadili matumizi ya fedha za mfuko huo.   Baadhi ya wananchi wa Kata ya Tegeruka, Musoma Vijijini waliohudhuria mkutano wa kujadili matumizi ya fedha za Mfuko wa …

Read More »

WAZIRI MKUU AENDESHA HARAMBEE UJENZI WA SEKONDARI MPYA RUANGWA

my

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Ruangwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ofisi ya CCM ya wilaya  hiyo kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 30, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya  Ruangwa Desemba 30, 2016.   Baadhi ya …

Read More »

CCM KIBAHA MJINI YAJIPANGA KUSHINDA UCHAGUZI MDOGO KATA YA MISUGUSUGU

kiva

  Wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM ,Kibaha Mjini wakifuatilia jambo katika kikao cha halmashauri hiyo kilichokaa ili kujiwekea mikakati ya ushindi katika uchaguzi mdogo  wa kata ya Misugusugu,ambapo desemba 31 /2016 CCM inatarajia kuzindua kampeni zake rasmi.(picha na Mwamvua Mwinyi)  .. Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha CHAMA cha Mapinduzi(CCM) Kibaha Mjini …

Read More »

KHATIB: APITISHWA KUWANIA UMEYA WA MANISPAA YA MJINI Z’BAR.

cccccm

Na Is-haka Omar, Zanzibar. MADIWANI wa Manispaa ya Mjini, wamempitisha Khatib Abdulrahman Khatib , kugombea nafasi ya umeya wa manispaa hiyo. Uchaguzi huo ulimpendekeza meya huyo na kumpitisha baada ya kupata kura 27 za madiwani wote, hatua ambayo itamfanya kuwania nafasi hiyo katika uchaguzi wa Meya kupitia Chama Cha Mapinduzi. …

Read More »

VIONGOZI JIMBO LA CHUMBUNI WAKABIDHI VIFAA VYA SH. MILIONI 43

chama_cha_mapinduzi_logo

 Na Is-haka Omar, Zanzibar. ZAIDI ya shilingi milioni 43 zimetumika kununua vifaa mbali mbali  vya Jimbo la Chumbuni Zanzibar, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi zilizotolewa na Viongozi wa jimbo hilo kwa wananchi  katika Kampeni za Uchaguzi uliopita. Akisoma Risala katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo, Abrahman Abass alisema vifaa …

Read More »