Tuesday , February 21 2017

Home / SIASA (page 43)

SIASA

Habari za Siasa

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MKOANI RUKWA

hi5

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwapungia wananchi wa Kijiji cha Mtowisa  baada ya kuwasili kijijini hapo wakiwa katika ziara ya mkoa wa Rukwa Agosti 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wananchi wa kijiji cha Mtowisa mkoani Rukwa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa …

Read More »

Kesi ya Tundu Lissu yahairishwa

index

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi – Kisutu, Yohanne Yongolo ameihairisha kesi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe Tundu Lissu hadi Septemba 6 mwaka huu ili kutoa uamuzi wa maombi yaliyoombwa na upande wa mshtakiwa. Kesi hiyo imehairishwa leo Jijini Dar es Salaam na …

Read More »

MBUNGE MAHMOUD MGIMWA AKABIDHI MIFUKO 100 YA SARUJI NA NDOO KUMI ZA RANGI

MGI

MBUNGE wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahamood Mgimwa akihutubia wananchi waliofika kwenye mkutano uliyafanyika kwenye shule ya sekondary Mdabulo.   Baadhi ya wananchi waliokuwa wamehudhuria mkutano huu wa mbunge wa jimbo la mufindi kaskazini mahamood mgimwa.    MBUNGE wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahamood Mgimwa akikabidhi mifuko 100 ya saruji …

Read More »

DC STAKI ATENGA SIKU YA JUMATATU KUSHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO

2

Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule akishiriki shughuli za maendeleo kwa kufyeka baadhi ya vichaka  Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Mhe Rosemary Staki Senyamule akizungumza na viongozi wa Kijiji na Kata ya Gonja Maore na baadhi ya wajumbe wa kamati ya siasa Wilaya …

Read More »

DC GABRIEL DAQARRO AAPISHWA AAHIDI MAKUBWA ARUSHA

1

Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akiapa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mrisho Gambo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akisaini hati ya kiapo cha Mkuu wa wilaya mpya ya Arusha,Gabriel Daqarro(kulia)wanaoshuhudia ni Katibu Tawala mkoa,Richard Kwitega na Afisa wa Itifaki,Mukhsin Khasim. Viongozi …

Read More »