Thursday , January 19 2017

Home / SIASA (page 5)

SIASA

Habari za Siasa

MBUNGE KIKWETE APONGEZA KASI YA UBORESHAJI WA MRADI WA MAJI WA WAMI

ridhiw

  MBUNGE  wa   jimbo la  Chalinze Ridhiwani  Kikwete  amepongeza  jitihada   kubwa  zinazofanywa na  wataaluma  wa Halmashauri ya  Chalinze  katika  kuboresha  mradi  wa maji wa Wami  kwa ajili ya  wananchi  wa Chalinze . Akizungumza  baada ya  kutembelea  mradi  huo jana mbunge  Kikwete  alisema  kuwa  mradi  huo ambao  ulianzishwa na aliyekuwa  mbunge  …

Read More »

ZIARA YA SHAKA MISENYI NA BUKOBA MJINI YAFANA

vcm

 Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Alipo tembezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyelwa Kuona Athari zilizo tokana  na Mvua ya Mawe  Zilizo Wakumba Wananchi wa kijiji Kangenyi Kata ya Kieluwa Wilayani Kyelwa Mhandisi wa Maji wilaya Misenyi ABdallah Gendaheka wa tatu kutoka kushoto akitoa maelezo mbele ya kaimu …

Read More »

RAIS NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAPYA WA CHAMA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI NA DC MTEULE WA UBUNGO

cham2

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Mhe. Kisare Makori akishuhudiwa na viongozi wapya wa CCM aliowateua hivi karibuni. Kutoka kulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole, Katibu NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa  Kanali Ngemela Eslom Lubinga na Naibu Katibu Mkuu …

Read More »