Tuesday , February 21 2017

Home / Teknolojia

Teknolojia

Hbari za Teknolojia.

Prof. Muhongo azindua Mafunzo ya taa, chaja za mionzi ya jua

mad1

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akionesha mfano wa Taa zinazotumia mionzi ya jua ambazo vijana 20 katika Kata ya Nyegina watafundishwa namna ya kuzitengeneza baada ya kuzindua mafunzo hayo. Kulia ni Balozi wa Korea Kusini nchini, Song Geumyoung na kushoto ni Mkufunzi wa mafunzo hayo Dkt. …

Read More »

Wanawake 47 wahitimu mafunzo ya ukataji na ung’arishaji Vito.

WAR2

Mkufunzi Msaidizi katika Kituo cha Jemolojia Arusha, (TGC), Lilian Petro (wa kwanza kulia) akionyesha madini ya vito yaliyong’arishwa na wanafunzi wanaopata mafunzo katika Kituo hicho kilicho chini ya Wizara ya Nishati na Madini. Wa Pili kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Almasi na Vito (TANSORT), Archard …

Read More »

CHINA SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FOR 2017/2018

tanzania

INTRODUCTION Applications are invited from committed, motivated and qualified Tanzanians to apply for postgraduate studies in the one of China’s best Oil and Gas Universities – the China University of Geosciences (Wuhan). Sponsorship will be in the fields of oil and gas. The scholarships will be processed in collaboration with …

Read More »

Wanafunzi SAUT wafanya ziara ya mafunzo TBL Mbeya

sau2

Wanafunzi wa SAUT wakiingia katika eneo la kiwanda Wanafunzi wakipatiwa maelezo ya upimaji wa viwango vya bia katika maabara ya kiwanda kutoka kwa Fundi wa maabara,Sylivester George Wanafunzi wakipatiwa maelezo ya Usalama wakati wa ziara hiyo Wanafunzi wakipatiwa maelezo ya taratibu za uzalishaji unavyofanyika kiwandani hapo kutoka kwa Afisa wa …

Read More »

Tume ya Mipango yatembelea Kiwanda cha Vinywaji cha Azam

kiw3

Wataalam kutoka Tume ya Mipango wakimsikiliza Meneja anayesimamia Ubora wa Bidhaa, Bibi Lilian Mwashigadi wakati wa ziara ya Tume ya Mipango katika kiwanda cha uzalishaji wa vinywaji kilichopo eneo la Mwandege Mkoani Pwani. Meneja anayesimamia Ubora wa Bidhaa, Bibi Lilian Mwashigadi (aliyevaa koti jeupe) akiwaonesha maofisa wa ukaguzi wa miradi …

Read More »